eribedama
Senior Member
- Oct 29, 2014
- 114
- 78
Hivi hawa PPF ndo wameacha hata kutujibu kama hatukupita mchujo wa pili (Uliokua wa hivyo)? Maana interview ya kwanza watu waliitwa, ya pili wakaitwa na ambao hawakuitwa waliambiwa pia. This time imekuaje tena? Tayari wameshaita watu?
Mwenye taarifa atusaidie tafadhali.
Mwenye taarifa atusaidie tafadhali.