Nilikuwa mmoja wa waliobahatika kuitwa kwenye written interview ya Operations Officer, interview iliyofanyika leo IFM.
Lakini moja ya maajabu niliyokutana nayo ni kupewa maswali 100 yanayotakiwa kujibiwa ndani ya dakika 135.
Kwa maana hiyo ili kupata alama zote(100%) inatakiwa kila swali lijibiwe sahihi ndani ya dakika 1 na sekunde 21 tu. Sijui waandaaji wa hayo maswali walitumia kigezo gani kupima kiasi kwamba mtahiniwa anaweza kupata muda wa kusoma swali, kulielewa na kutoa uamuzi ndani ya hiyo dakika moja.
Kwa kweli unatakiwa kuwa na supersonic speed ya ubongo sehemu ya kufikiri ili uweze kumaliza aptitude test hiyo vinginevyo lazima uwe umeyaona maswali kabla.
Kama huu sio usanii basi ni kukomoana.
Namshangaa analalamika maswali 100 kwa dakika 135 na ndio maana nikasema kabla kwamba dakika 135 kwa maswali 100 ni nyingi mnoooo.... almost six months ago nilikuwa na aptitude ya maswali 100 kwa robo saa! Yaani nilipoona tu ile test, hata ukiamua kusoma maswali peke yake bila kuyajibu, bado usingeweza kumaliza!Easyfit,
Mkuu hii ni kawaida na ndio maana inaitwa aptitude test. Sio lazima umalize maswali yote..Inapima vitu vingi ikiwamo speed na uwezo wako wa kufanya choices and decisions while under pressure.
Kuna certifications nyingi zinakua na limited time. Mfano CISA wana maswali 200 in just 4 hours.
Wengine tuna maamuzi ya ajabu... nilitoka kwenye permanent employment na kwenda kwenye hourly temporary employment na ajabu huku ndo nikajikuta am very comfortable with working, though I'd sometime remain with a month or two without a pay check (coz' no job offer at my desk)!Kuhusu mishahara, mtu anaweza kuacha kazi sehemu yenye mshahara mkubwa akaenda kwenye mshahara mdogo kwa kulingana na malengo yake. Wengine wanatafuta career path wanqona huko waliko hakuna growth, wengine wanaona kuko "too structured" if yoh catch my drift, wengine wanaona hakuna ulaji nje ya mishahara etc.
Namshangaa analalamika maswali 100 kwa dakika 135 na ndio maana nikasema kabla kwamba dakika 135 kwa maswali 100 ni nyingi mnoooo.... almost six months ago nilikuwa na aptitude ya maswali 100 kwa robo saa! Yaani nilipoona tu ile test, hata ukiamua kusoma maswali peke yake bila kuyajibu, bado usingeweza kumaliza!
Na kama ulivyosema, wanachoangalia wala sio kumaliza maswali... na katika aptitude ambazo nimewahi kukutana nazo sikumbuki kama ipo ambayo niliwahi kumaliza lakini zote zilinifanya niende next step.
Shule za kata ndizo tunazomudu....unataka tukasome wapi?? Kumbe nia ya kutuanzishia shule za kata ni kututofautisha sisi na watoto wenu...bas sawa
Interview ya custom officer Na Tax officer TRA ijumaa iliyopita!!
Maswali 50 muda lisaa limoja## dakika 60
Anyway, siwezi kumlaumu... kuna uwezekano mkubwa kwamba hiyo ni aptitude yake ya kwanza ya kwanza... nami nakumbuka aptitude yangu ya kwanza ilikuwa Standard Chartered Bank soon after graduation... nakumbuka nimetoka pale najisikia kuugua... nikachukulia kama mitihani ya shule! Nashangaa siku ya pili naitwa... nikajiambia IT'S IMPOSSIBLE kumbe ndo ilishakua possible hiyo... na nilipokuja ku-experience zingine, nikakuta kumbe StanChart nao walikuwa fair sana, coz' only 50 questions kwa dakika 30!Zile huwa ni za mchujo tu, kuangalia nani atakuwa so off base that it would not make sense to include them in the next step, so mtihani unaweza kuwa na maswali mengi lakini hutakiwi kumaliza yote.
Mkuu lisome vizuri lile swali siyo kutafuta KDS,Ni shiiiiiiiida! Yani kutafuta KDS ya 30, 40 na 60 upewe dk 2? Si unaangalia kwa macho tu kwamba jb ni 120 kwa hyo watamaliza wote kwa pamoja baada ya masaa 120 tena mi ningemaliza ndani ya dk 50.
Tutaamini vipi kuwa umefanya Ndani ya 1min?!! Acha mbwembwe
Sasa kama hata wao wanajua huwezi kumaliza maswali yote wameyaleta ya nini,Zile huwa ni za mchujo tu, kuangalia nani atakuwa so off base that it would not make sense to include them in the next step, so mtihani unaweza kuwa na maswali mengi lakini hutakiwi kumaliza yote.
Sasa kama hata wao wanajua huwezi kumaliza maswali yote wameyaleta ya nini,
mimi nafikiri kama ukitaka kumpima mtu vizuri mpe muda wa kutosha, msikilize ili ujue pumba zake.
Mkuu sikatai kuwa kuna test zingine zina maswali mengi kwa muda mchache, lakini inategemea nature ya maswali, mfano nitajie mji mkuu wa Kongo there is no reasoning here, lakini maswali ya maths yanahitaji at least muda wa kufikiri ili kujenga hoja.Dakikia 135 mbona nyingi?? Niliwahi kufanya interview moja miaka ya nyuma pale PWC maswali mia moja kwa dakika 60. Wanapima uwezo wako wa kuelewa na kutoa solutions faster
Mkuu sikatai kuwa kuna test zingine zina maswali mengi kwa muda mchache, lakini inategemea nature ya maswali, mfano nitajie mji mkuu wa Kongo there is no reasoning here, lakini maswali ya maths yanahitaji at least muda wa kufikiri ili kujenga hoja.
Mkuu sikatai kuwa kuna test zingine zina maswali mengi kwa muda mchache, lakini inategemea nature ya maswali, mfano nitajie mji mkuu wa Kongo there is no reasoning here, lakini maswali ya maths yanahitaji at least muda wa kufikiri ili kujenga hoja.