Interview NSSF: Maswali 100 dakika 135

Interview NSSF: Maswali 100 dakika 135

EasyFit

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
1,269
Reaction score
1,082
Nilikuwa mmoja wa waliobahatika kuitwa kwenye written interview ya Operations Officer, interview iliyofanyika leo IFM.
Lakini moja ya maajabu niliyokutana nayo ni kupewa maswali 100 yanayotakiwa kujibiwa ndani ya dakika 135.

Kwa maana hiyo ili kupata alama zote(100%) inatakiwa kila swali lijibiwe sahihi ndani ya dakika 1 na sekunde 21 tu. Sijui waandaaji wa hayo maswali walitumia kigezo gani kupima kiasi kwamba mtahiniwa anaweza kupata muda wa kusoma swali, kulielewa na kutoa uamuzi ndani ya hiyo dakika moja.

Kwa kweli unatakiwa kuwa na supersonic speed ya ubongo sehemu ya kufikiri ili uweze kumaliza aptitude test hiyo vinginevyo lazima uwe umeyaona maswali kabla.

Kama huu sio usanii basi ni kukomoana.
 
sio kwamba unatakiwa kupata zote 100, wanakupima ni jinsi gani unavyoweze kuhudumia wateja ndani ya muda mfupi
 
Kwa kweli unatakiwa kuwa na supersonic speed ya ubongo sehemu ya kufikiri ili uweze kumaliza aptitude test hiyo vinginevyo lazima uwe umeyaona maswali kabla.

Nilikuwa mmoja wa waliobahatika kuitwa kwenye written interview ya Operations Officer, interview iliyofanyika leo IFM.
Lakini moja ya maajabu niliyokutana nayo ni kupewa maswali 100 yanayotakiwa kujibiwa ndani ya dakika 135.

Kwa maana hiyo ili kupata alama zote(100%) inatakiwa kila swali lijibiwe sahihi ndani ya dakika 1 na sekunde 21 tu. Sijui waandaaji wa hayo maswali walitumia kigezo gani kupima kiasi kwamba mtahiniwa anaweza kupata muda wa kusoma swali, kulielewa na kutoa uamuzi ndani ya hiyo dakika moja.

Kama huu sio usanii basi ni kukomoana.

Weka swali moja/mawili tuone set up yake ilikuwaje. yalikuwa open ended au closed
 
Khaa!! Hii inategemea swali lenyewe. Hebu weks swali moja hapa. Mibongo kaxi kulalamika tu
 
Kumbuka kulikuwa na kushed pia ile anwer sheet OMR(Optical mark reader) kwa kunamda wakutumia kushed pia.
 
Kulikuwa na maswali ya hesabu za mafumbo u formulate equation mwenyewe, sijui unaweza ku formulate equation baadae ufanye hesabu ndani ya dakika 1.

Kwa mfano swali kama hili is doable in less than one minute: Urefu wa shamba ni mara tano ya upana. Kama mzunguko/perimeter ni mita 36, tafuta urefu wa shamba- ndio maana nikasema tupe mfano
 
daah inasikitisha sana mleta mada ni moja wa candidates yaani ujinga ulioandika hapo juu hata kazi ya u house girl sikupi...u r failure by nature
 
Matusi ya nini sasa. Jitathimini kwa nini umemtukana. Ukienda kitandani kulala jiulize kwa nini umemtukana. Muulize Mungu wako au shetani wako, whatever the case
 
Halafu cha kushangaza zaidi::

Mimi huwa nashindwa kuelewa nimeona watu wana vitambulisho vya Standard chartered, Crdb, NBC, na makampuni makubwa makubwa nao wame apply kazi. Sasa hivi ni tamaa ya kutaka kufanya kazi Nssf au? Mtu unafanya kazi unalipwa vizuri mfano " standard chartered wanalipwa si pungufu ya laki nane take home" yanini kuja kutuzibia nafasi tusio na ajira kabisa?

Huu ni ulimbukeni na tamaa tu!!

I hate those who came from reputable companies like standard chartered, crdb, to apply for our position..

real inauma sana....wadau.
 
Khaa!! Hii inategemea swali lenyewe. Hebu weks swali moja hapa. Mibongo kaxi kulalamika tu
Mfano wa swali moja lijibiwe ndani ya dakika 1.

Kampuni ina wafanyakazi watatu A, B, na C kila mmoja anaweza kumaliza kazi kwa masaa 30, 40, 60 respectively. Ikiwa C ataamua kuwasaidia A na B kila baada ya masaa matatu kwa masaa matatu kila wakati, kazi hiyo kwa pamoja wataimaliza kwa masaa mangapi.

Sidhani swali kama hili unaweza kulijibu ndani ya dakika moja.
 
Halafu cha kushangaza zaidi::

Mimi huwa nashindwa kuelewa nimeona watu wana vitambulisho vya Standard chartered, Crdb, NBC, na makampuni makubwa makubwa nao wame apply kazi. Sasa hivi ni tamaa ya kutaka kufanya kazi Nssf au? Mtu unafanya kazi unalipwa vizuri mfano " standard chartered wanalipwa si pungufu ya laki nane take home" yanini kuja kutuzibia nafasi tusio na ajira kabisa?

Huu ni ulimbukeni na tamaa tu!!

I hate those who came from reputable companies like standard chartered, crdb, to apply for our position..

real inauma sana....wadau.

hahaha your position? ?? acha ufala dogo embrace the challenge....you are suffering from Inferiority Syndrome....hivi wewe ni wa kike ama?
 
Kama chances ni hakuna atakayeweza kuyajibu yote na tena kwa usahihi wa 100%, basi Unajibu maswali mengi uwezayo, simple!
 
daah inasikitisha sana mleta mada ni moja wa candidates yaani ujinga ulioandika hapo juu hata kazi ya u house girl sikupi...u r failure by nature
Mkuu Rio Tinto ni ujinga upi nilioandika nionyeshe kabla ya kulaumu au tujulishane kama na wewe ulikuwepo kwenye interview na uliyaona maswali.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom