Interview na Mchimba makaburi na mama Mtunza Maiti EATV

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,639
Reaction score
167,514
Kwenye Mboni Show leo anahojiwa mama ambaye ni mtunza maiti wa Amana Hospitali na Kijana mchimba makaburi.
Kijana mchimba makaburi anasema kuwa, wakiwa wanachimba kaburi, na wakakutana na mifupa, basi huichimbia kidogo kisha huizika tena. Kwa hiyo kuna baadhi ya makaburi wamezikwa watu wawili.
 
Duh hapa nafkiri swala ni kuongeza maeneo zaidi ya kuzikia.
 
hasa makaburi ya kinondoni watu wamejaa ila ndo hivo sasa
 
Back
Top Bottom