Sasa iv kuna interviews zinaendelea batch ya 11 nadhani. ..nina maswal machache
1.tuko kama 300 kwa interview je training huwa wanachaguliwa wangp?
2.afta training wanaajiriwa wangap?
3.ukipata kaz unabak head office apo arusha au unapelekwa mkoani?
4.hawako interested na course uliyosoma je unaweza kuendeleza career yako kweli?
5.salary afta probation ni shs ngp?
6.tutumie techniques zipi kuweza kufuzu trainings hatimaye kuajiriwa?