lazima ukae
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 791
- 417
Gharama za ughaibuni unamaanisha nin mkuu
Namaanisha pesa ya kujikimu katika kipindi chote cha training ukizingatia kwamba pamoja na kuhudhuria training bado kuna mchujo mwingine so unaweza pata aji
ra au usipate
Hii company naona inaua career ya mtu kwasababu haiwezekani hawataki kujua ww ni Nani either mwasibu. Engineer. Mwanasheria hao wanaajiri tu.na kukutrain ufanye kazi zao...madhara niliyoyaona unayoweza kupata ni.
1 hiyo kaz unapangiwa vijijini. .kwa hyo sahau kufanya interviews nyingne ambazo nyingi ni dar es salaam. ..nakumbuka tukiwa training walituambia haturuhusiwi kuhudhuria graduation tukishaajiriwa...
2.career yako Isahau kwa muda kwasababu kama ww ni mwasibu hutoweza kusoma cpa..assume umepangiwa Mara uko..au lawyer school of Law sahau
Ila la mwisho kama unashida ww nenda tu maana mshaara kwa mtu anayeenza sio mbaya ni mzuri kiasi chake
Kila la heri kwa mtakaofanya interview
Ndugu wana jamvi,
Kuna hii kampuni inayojiita M-Power academy, tuli-apply kupitia online test na wameita watu kwenye interview trh. 24 Jan, binafsi siijui kiundani lakini wanasema wanashughulika na off grid electric (solar).
Kwa anaowaijua hii kampuni zaidi ya niijuavyo watusaidie, jinsi wanavyofanya biashara na jinsi wanavyoojiri au ajira yao ni ya commission? maana inavyoonekana hawajaanza leo kuita watu kwenye interview toka mwaka jana wasije kuwa mapatapeli .
Natanguliza shukrani.
Duh kuna mtu anafanya huko nilikua namuomba mwongozo kidooogo, anasema ukianza utalipwa 550 kwa miez mitatu km probation period, halaf ukiendelea utachukua laki saba kwa miezi mitatu mingine halaf baada ya hapo ni Million 1.2 kila mwezi
Tofauti na hvyo kuna overtime ya elf 40 kwa jumamos km nusu siku, overtime ya jumapili, holidays/public dayz ni 80 elfu,....je kuna ukweli na hizi taarifa kwa anaejua vizuri atusaidie hapa tafadhali
Namaanisha pesa ya kujikimu katika kipindi chote cha training ukizingatia kwamba pamoja na kuhudhuria training bado kuna mchujo mwingine so unaweza pata ajira au usipate
Ingekua wanalipa 1.2m watu wasingeacha kazi kila cku....ndo maana ajira zao haziishi wanaajiri kila ckuDuh kuna mtu anafanya huko nilikua namuomba mwongozo kidooogo, anasema ukianza utalipwa 550 kwa miez mitatu km probation period, halaf ukiendelea utachukua laki saba kwa miezi mitatu mingine halaf baada ya hapo ni Million 1.2 kila mwezi
Tofauti na hvyo kuna overtime ya elf 40 kwa jumamos km nusu siku, overtime ya jumapili, holidays/public dayz ni 80 elfu,....je kuna ukweli na hizi taarifa kwa anaejua vizuri atusaidie hapa tafadhali
Sio matapeli nasikia wanalipa kati ya 450k - 630k.. Wee ulifanya online test line na wamekujibu lini?Ndugu wana jamvi,
Kuna hii kampuni inayojiita M-Power academy, tuli-
apply kupitia online test na wameita watu kwenye
interview trh. 28 oct, binafsi siijui kiundani lakini
wanasema wanashughulika na off grid electric
(solar).
Kwa anaowaijua hii kampuni zaidi ya niijuavyo
watusaidie, jinsi wanavyofanya biashara na jinsi
wanavyoojiri au ajira yao ni ya commission? maana
inavyoonekana hawajaanza leo kuita watu kwenye
interview toka mwaka jana wasije kuwa mapatapeli .
Natanguliza shukrani.