Interview M-POWER (Off-Grid Electric Coy)

EasyFit

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
1,269
Reaction score
1,082
Ndugu wana jamvi,

Kuna hii kampuni inayojiita M-Power academy, tuli-apply kupitia online test na wameita watu kwenye interview trh. 24 Jan, binafsi siijui kiundani lakini wanasema wanashughulika na off grid electric (solar).

Kwa anaowaijua hii kampuni zaidi ya niijuavyo watusaidie, jinsi wanavyofanya biashara na jinsi wanavyoojiri au ajira yao ni ya commission? maana inavyoonekana hawajaanza leo kuita watu kwenye interview toka mwaka jana wasije kuwa mapatapeli .

Natanguliza shukrani.

Hawa jamaa sio matapeli Nina rafiki zangu wanafanya hapo,n kampuni ya wazungu inashughulika na umeme hasahasa vijijini nafikiri ukisoma kwenye ile registration form Yao wamejielezea fresh,kampuni ipo arusha barabara ya east Africa community...kwa bahat mbaya m nilifanya hyo online test Yao cjafaulu..
 
pia ukiitwa kwny interview,utafanya test kwny computer ambappo yatakuwa yale masswali uliyofanya online pia utatapewa group lakufanya nao maswali tena tatu utafanya individual ambapo usually wanauliza challenge ulizoface maishan, ushawai kutana na matukio ambayo n dishonest, na ulifanya nini na je ushawahi disagree na mtu au any situation and why, hayo ni maswali yanayojirudia, then congratulations, sio matapeli ukijitahidi kazi umepata.
 
Kwa yeyote anaejua usaili wa M-Power coy huwa unakuaje baada ya kufanya online test.Naamanisha tena mnafanya written interview nyingine au oral?, na je maswali gan hasa huulizwa tafadhalin naomba msaada wenu wana jf.
 
Yaani utakuwa frustrated sana..kwanza ofisi iko migombani kimandolu kule arusha,ofisi ni sebule plus jiko pembeni..unakaa mezani unafanya kazi huku dada anakaanga samaki..ni sheeedah
 
ebu acha uongo,office za hawa jamaa ziko DTB bulding opposite mount meru hotel.
 
Sawa nenda utashangaa na roho yako..nilienda hapo kwenye interview ya hr manager ...na sikutamani kurudi tena na hilo walilijua maana niliwaambia hiyo sio corporate working environment..labda hiyo ya DTB ni office ya shemeji yako
 
Nmekuelewa lakin mbona hujanijib nlichouliza,naomba nijibu kama utaweza kwan mim hata bafuni nafanyia kazi tu kikubwa pesa.
 
Yaani utakuwa frustrated sana..kwanza ofisi iko migombani kimandolu kule arusha,ofisi ni sebule plus jiko pembeni..unakaa mezani unafanya kazi huku dada anakaanga samaki..ni sheeedah

Sasa si uendelee kufanya apo twins tower BOT ,unaatuma application za nn kwa mashirka yaliyopo migombani??
 
Kwa yeyote anaejua usaili wa M-Power coy huwa unakuaje baada ya kufanya online test.Naamanisha tena mnafanya written interview nyingine au oral?, na je maswali gan hasa huulizwa tafadhalin naomba msaada wenu wana jf.

ok ukishafaulu online test unaendelea na group interview ambayo wataasses your participation therr after kuna oral ambapo utaulizwa any question it doesnt take more than five minutes for oral
 
Hawa M PAWA wanahitaji watu wangapi kila mkoa wanaofanyisha usaili?
 
Wadau punguzeni uongo, mimi nafanya kazi OGE-Moshi, Ofisi ipo DTB building na kwasasa wamechukua lile jengo wanaita M-POWER building..... Ni miongoni mwa kampuni zinazolipa vizuri sana na hawaangalii experience na vile vile ukifanya kazi kwa mafanikio unaweza kuwa promoted ndani ya mwaka na ukawa hata Regional Manager
 
Kampuni ya kisenge sana hiyo ..dangayaneni tu mtakuja kuleta ushuhuda hapa..regional manager wa babati mshahara 678,000/=!!!
 
Anyway sio lazima kukubali bt ukweli ni kwamba OGE ni miongoni mwa kampuni zinazolipa vizuri..... RM anachukua more than 5M
 
Kampuni ya kisenge sana hiyo ..dangayaneni tu mtakuja kuleta ushuhuda hapa..regional manager wa babati mshahara 678,000/=!!!

we utakua uliomba ukakosa,so umejenga chuki nao.
 
Kampuni ya kisenge sana hiyo ..dangayaneni tu mtakuja kuleta ushuhuda hapa..regional manager wa babati mshahara 678,000/=!!!

acha uongo huduma kwa wateja wanapokea kama mia saba hivi....na kuna jamaa wanawafahamu mishahara yao mmoja milion tatu na upuuzi mwingine millioni mbili na nusu na wao sio ma regional manager ...ni kati ya kampuni inayolipa vizuri tu......
 
Milioni tatu my foot..kampuni ofisi za kontena kimandolu mshahara milioni tatu? Kamdanganye dadako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom