Bandabichi
JF-Expert Member
- Jun 3, 2012
- 230
- 42
ok umenisaidia sana lugha ni ipi au ina depend
nimekua nikifanya kazi kampuni tofauti kama mbili lakini zote hizo nilikua nikipita bila interview sababu kuna wa2 walikua wananibeba si unajua tena nibebe nibebe nivukee salama.sasa kuna nafasi za kazi pale landmark hotel nimepeleka barua interview wik hii je wanaulizwa maswali gani kwa mwenye uzoefu post ni receiption
hotel iko mbali aisee ukiweza kufika ni interview tosha na sharti lilikua upelekee kwa mkono barua yako another fact ni hotel mpya inayomaliziwa kujengwa bado fernicha tu za ndani naona bora nitry
umeomba post gan na me nakuja kwa interview