Interview Idara ya Maji Mbeya trh 24 January tukutane hapa

Onyix

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
682
Reaction score
793
Wale wote tulio itwa interview idara ya maji Mbeya tukutane hapa. Wengine hatujawahi fika Mbeya kabisa.
Kama kuna wenyeji mtuambie sehemu nzuri ya kufikia na maelezo mengine kama nauli toka Dar to Mbeya na Bus zuri.. Asante
 
nauli mbeya to dar ni 40000 na sehemu nzuri hill view hoteli na pale ni jirani na ofisi za idara ya Maji
 
maana wengine tuna pnda usalama wa raia na mali zake... wapiga nondo sio rafiki kabisa wa binadamu
 
Hill view hotel inafaa ila bei juu, wapiga nondo hakuna, hoteli nzuri karibu na rift Valley hotel zamani ukifata lile barabara utapata kwa bei nzuri tu, kutoka hotelini hadi idara ya maji ni meter 750 dakika 5 kwa miguu toyo dakika mbili au moja bei 500 /=
 
Wale wote tulio itwa interview idara ya maji Mbeya tukutane hapa. Wengine hatujawahi fika Mbeya kabisa.
Kama kuna wenyeji mtuambie sehemu nzuri ya kufikia na maelezo mengine kama nauli toka Dar to Mbeya na Bus zuri.. Asante
Mkuu wameanza ita lini na je wanapiga simu,sms au email au wametoa majina kwa ujumla? Ahsanteh
 
Wale wote tulio itwa interview idara ya maji Mbeya tukutane hapa. Wengine hatujawahi fika Mbeya kabisa.
Kama kuna wenyeji mtuambie sehemu nzuri ya kufikia na maelezo mengine kama nauli toka Dar to Mbeya na Bus zuri.. Asante
Huitaji na malaya labda wakukuliwaza muda wote wa kule mbeya?? Maana kuna baridi la hatari mkuu
 
Wale wote tulio itwa interview idara ya maji Mbeya tukutane hapa. Wengine hatujawahi fika Mbeya kabisa.
Kama kuna wenyeji mtuambie sehemu nzuri ya kufikia na maelezo mengine kama nauli toka Dar to Mbeya na Bus zuri.. Asante
Majibu yanaonekana wapi mkuu? Kwenye web yao sioni kitu au wamekupigia simu?
 
Back
Top Bottom