prakatatumba
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 1,328
- 192
it was not baad. nimepata kitu kipya. tumefika tukapewa magazeti.mikas glue marker pen na karatai. tukaambiwa tukate from a newspaper anything tubandike kwenye plain paper. then tuandike chochote kuhusiana na pcha.
after 25mins akaja akasema kila mtu apresent..
thats all for yday wamesema watatupigia within two weeks kama unaenda next step.
Aise na mimi nilikuwepo kwa interview kama tatiana pale eximbank,afadhali tatiana kapewa intro kidogo,mi sikujua hata positiön ninayoitiwa mana aliyenipigia hakuniambia,na sikupita jf kumbe ningepata kitu,duh mungu saidia.
AshaDii. RAJ PATEL JR etc the tips yesterday.
it was not baad. nimepata kitu kipya. tumefika tukapewa magazeti.mikas glue marker pen na karatai. tukaambiwa tukate from a newspaper anything tubandike kwenye plain paper. then tuandike chochote kuhusiana na pcha.
after 25mins akaja akasema kila mtu apresent..
thats all for yday wamesema watatupigia within two weeks kama unaenda next step.
Asante kwa feedback Tatiana... Vipi so far are you confident ulifanya vema? Are you comfortable enaf kukubali kuwa utakuwa umefanya vema ama tofauti na matarajio chanya?
Boniface sioni kama hili la kukupa sana wasi wasi.. Tokana na maelezo ya Tatiana, hii ni mpya na kali... Alafu honestly nimeipena. Inapima uwezo wako wa creativity, ufanisi wa kazi yako na uwezo wako wa kujieleza huku ikiangalia kina cha ufikiri wako. Hii interview kuchakachua kazi ipo. Kuna wengine ni wazuri sana wa interview sababu wanakuwa wamesoma tips zote za interview but ki utendaji tofauti..
Kikubwa tu kama mlifanya vema... Mungu awajaalie mpate hasa kama mna deserve.
Mrejeshowakuu,
nimeitwa kwenye interview Exim bank kwa position ya Customer Care officer naomba mtu mwenye uzoefu anisaidie.. interview ni kesho asubuhi saa nne..
asanteni
nimewapenda wamefanya kitu kizuri sans kwakweli kuonyesha kuwa intavyu ina mambo.mengi tusikariri.
Ulisomea nn chuo?Nilihama hiyo sector long ago ma'am, nipo kwenye NGOs sasa.