Mwanaharakati2013
Senior Member
- Sep 29, 2013
- 170
- 15
wewe achana na izo kampuni zinazotaka utoe hela,tusikilize sisi tulioingia mkenge long time,nilishakutana na icho kitu nikatuma pesa wakanipa online exams nikafanya wakanipa pass mark za juu kishenzi hata mi najua sikufaulu vile baada ya hapo coz nilikuwa nimeshawapa pesa sikusikia chochote kutoka kwao.so angalia issue nyingine.Mind you,anytime unapoona company au NGO inkuambia utoe ela achana nazo ni utapeli tu.
Asante karrote.. yaani wameniambia nitume matokeo ya hizo test kama sina ndio nifanye kwenye centre walizozisuggest.
so hata hela situmi kwa hiyo NGO natuma kwenye Centre inayotoa hizo test.
Asante karrote.. yaani wameniambia nitume matokeo ya hizo test kama sina ndio nifanye kwenye centre walizozisuggest.
so hata hela situmi kwa hiyo NGO natuma kwenye Centre inayotoa hizo test.