Interracial marriage/interracial sexual relationship

Interracial marriage/interracial sexual relationship

Mi mwenyewe nina muhindi na hajatengwa tena kitu अच्छा. Fanya uchunguzi upya.
 
Jirani yetu ameolewa na muhindi tena wanakaa Kariakoo...wana duka lao kabisa maana hamkawii sema muhindi koko...acheni ku kremu...

Wako wote huu karibu mwaka wa 15 maana aliolewa kabla yangu saana
 
Ila inawezekana wakawa hawana soko sababu wa Asia nasikia wana vibamia...(te te te)
 
Nitakupa uzoefu, kuna maswala mfano mila na tamaduni zetu na wahindi ni tofauti sana. Kuanzia makuzi, dini, aina ya chakula mfano jamii ya kunde na pilipili nk hivi huwa ni sabbu ya wengi kuhofia kujichanganya nasi.

Lakini mwanamke wa kihindi akikupenda hakuachi ni kama ruba na wanajua kutunza hao unakuwa kama kamungu kake. Asubuhi lazima anibusu miguu ili nifanikishe issue zangu.
 
Sasa naona watuwanakoroga hoja ya msingi.
Kama nimemuelewa vizuri mtoa mada;
Hoja ya msingi ni kuwa ni aghalabu kuona Mtanzania (Mweusi) Kuoa au kuolewa na Mhindi (rangi nyeupe) na kama ikitokea kuna kutengana.
Kwahiyo inatupasa mjadala wetu ugemee kwa Wahindi na Waswahili na sio kuanza ku-google kutuletea
Picha za watu weusi na wahindi wa ughaibuni ambako barrier huko hata kama zipo hazilingani na huku.

Nawaasa wadau wengine acheni kubaka mada. Swala lililopo ni Mhindi wa Tanzania na Mswahili.
lakini tueongelee couples zinazopatikana hapa Tanzania- MUELEWAGE HOJA EEE.
 
_66472261_sambo_davis_wife_sheeba2.jpg
sambo_wife_sheeba.jpg
Unagoogle picha za ughaibuni, embu soma mada
 
Unagoogle picha za ughaibuni, embu soma mada

Wadau habari zenu.

Binafsi toka nizaliwe na kukua hadi sasa sijawahi kusikia muhindi [indian] ameoana na Mtanzania yoyote.

wewe sr bachelor uliyeelewa mada niambie mtanzania ni nani...mimi sikusoma uraia kabisa...

Nilijaribu kuchunguza ni kwa nini? Jibu nilipata ni kuwa hawa watu ni wabaguzi sana


wewe sr bachelor uliyeelewa mada niambie hapo kwenye blue ni wahindi wa tanzania tu ama kwa ujumla...na kama kwa ujumla ni kwa nini wabague ''watanzania pekee''(kwa definition yako ya mtanzania
mfano mzuri ni wao kwa wao inasemekana mhindi mwenye rangi nyeupe kuoana na mhindi wa rangi nyeusi si rahisi na ni kwa nadra sana.


wewe sr bachelor uliyeelewa mada niambie mhindi mwenye rangi nyeupe wa tanzania pekee ama mhindi yeyote..
Kuna rafiki yangu anasoma india ana mahusiano na binti wa kihindi na lengo lake ni amuoe, mimi nilimpa precaution kuwa kama anataka kuwa marehemu mtarajiwa atakaye jua chanzo cha kifo chake ajaribu kufanya hivyo.


wewe sr bachelor uliyeelewa mada niambie rafiki wa mtoa mada ana hatari ya kuwa marehemu kwa kuwa ni mtanzania(by your definition) ama kwa kuwa na ngozi nyeusi bila kujali katokea nchi gani...
3. Nimekaa mtaa wa fire/upanga maeneo yale kuna wahindi na waarabu wengi mara kwa mara nilikuwa nikiwaona wakiwa na uhusiano wa kimapenzi na dada zetu wa kitanzania but wao wakisikia una date na dada zao unatishiwa amani sana au huyo anaye date nawe kutengwa na familia yake.
Nawaomba wadada msiwashobokee sana hawa watu, hawa sio watu kabisa

wewe sr bachelor uliyeelewa mada niambie dhamira ya mtoa mada ni kuonesha wahindi kutowaoa ''watanzania''(kwa definition yako) ama ni rangi nyeusi popote na si tanzania pekee..??
 
Kwani kuna tatizo gani....huo ni mfano wa kiduniani.....

usihangaike nae mkuu....tumpe muda...
Join Date : 4th August 2014


tehteh...anadai ''Less words more actions'' akisahau kwamba...'' a picture is worthy thousands words''
 
Zamani nilikua nawapenda hawa watu hatari
 
Si hao tu, mi watu wote wanaoendekeza sana mambo ya mila mila hata siwafagilii kabisa!
 
[/SIZE]wewe sr bachelor uliyeelewa mada niambie mtanzania ni nani...mimi sikusoma uraia kabisa...


[/SIZE]
wewe sr bachelor uliyeelewa mada niambie hapo kwenye blue ni wahindi wa tanzania tu ama kwa ujumla...na kama kwa ujumla ni kwa nini wabague ''watanzania pekee''(kwa definition yako ya mtanzania

[/SIZE]
wewe sr bachelor uliyeelewa mada niambie mhindi mwenye rangi nyeupe wa tanzania pekee ama mhindi yeyote..


wewe sr bachelor uliyeelewa mada niambie rafiki wa mtoa mada ana hatari ya kuwa marehemu kwa kuwa ni mtanzania(by your definition) ama kwa kuwa na ngozi nyeusi bila kujali katokea nchi gani...


wewe sr bachelor uliyeelewa mada niambie dhamira ya mtoa mada ni kuonesha wahindi kutowaoa ''watanzania''(kwa definition yako) ama ni rangi nyeusi popote na si tanzania pekee..??

Yaani hata sielewi kwamba hujaelewa nini, jamaa kasema tanzania, na kwa tarifa yako wahindi wakiwa nchi zilizoendelea kama us wanakua tofauti sana hata kitabia, maana wanakuwa raia wa daraja la pili na la tatu kama sisi
 
usihangaike nae mkuu....tumpe muda...
Join Date : 4th August 2014


tehteh...anadai ''Less words more actions'' akisahau kwamba...'' a picture is worthy thousands words''
Acha ushamba wewe, join date inamaanisha nini, unajua nipo jf tangu lini..! ? Unajaua nina id ngapi..? Unaijua id yangu ya zamani, acha ujuaji wa kitoto wewe. Nina uzoefu kuliko hata wewe hapa jf..
 
Kuna mfanyabiashara namfahamu hapo Mwenge nae kaoa kanjibai orijini. Wana maisha yao ya raha na amani kabisa

Mkuu ni kweli kuna mifano michache sana ya ndoa kati ya Wahindi na Waswahili.

Swali la kujiuliza; ni kwa nini iwe hivyo wakati na wao wanajiita Watanzania?!

Kwa nini watake usawa kwenye mambo mengine yote lakini kwenye ndoa wajitenge?!
 
Yaani hata sielewi kwamba hujaelewa nini,
kwa kuwa huelewi ungefyata ama kuuliza na si kujifanya mjuvi wa kuniambia nisome mada...

jamaa kasema tanzania,
nimekuuliza kwako mtanzania ni nani unabwabwaja tu...
na kwa tarifa yako wahindi wakiwa nchi zilizoendelea kama us wanakua tofauti sana hata kitabia, maana wanakuwa raia wa daraja la pili na la tatu kama sisi

huelewi unachoongea...nitajie ni kabila gani tanzania hii watu wake wameoa watu wa jamii nyingine wengi kuliko wao wenyewe....''dont be easy to pick and blame''
 
Back
Top Bottom