Interracial marriage/interracial sexual relationship

Interracial marriage/interracial sexual relationship

Stop that na ujifunze(mjifinze) kuheshimu kila mtu(kuheshimiana)
wewe mwenye heshima usingesema hivi..hapa ndipo ulipojifanya much know(usijitoe ufahamu)
Unagoogle picha za ughaibuni, embu soma mada

.kama hili la kuona id mpya na kuanza kumbash mtu muache kabisa ni utoto.
kama hili la kuona post yangu na kunibash ''embu nisome mada'' ni umuch know kupita kiasi...why only you not others?

i posted pics never criticised anyone ...u signature tells it all ''less words more actions''...;;did nt you know a pic speaks thousands words??"
why chosen to bash my pics??
 
Uzingatie zile point nne na ujifunze heshima na kuheshimu watu, kuheshimu watu especialy ambao uwajui..

6f3873f95a98c73aac262631e7b98166.jpg
 
wewe mwenye heshima usingesema hivi..hapa ndipo ulipojifanya much know(usijitoe ufahamu)



kama hili la kuona post yangu na kunibash ''embu nisome mada'' ni umuch know kupita kiasi...why only you not others?

i posted pics never criticised anyone ...u signature tells it all ''less words more actions''...;;did nt you know a pic speaks thousands words??"
why chosen to bash my pics??
That is discussion nimukwmbia usiweke picha za ughibuni..soma uzi unasema tz..ungeweka picha za tanzania maana uzi umesema tanzania..tukaenda sawa.. Mwisho unakuja kutafuta tarehe nmejiunga lini..ili nini ..? Na kuanza kusema huyu mgeni..! Ili nini mkuu..!? Kwani ugeni ni nini..!? Why me coz mimi sivumilii mambo ya kitoto, mimi nipo mda mrefu sana hapa naonaga hizi bashing mnazofanyia watu wenye id mpya na watu wengine mkishindwa kuargue mnakimbilia ukongwe wa jf ..so what kama ni mkogwe..! Na wengine mnakimbilia personal attack kama ulivyoenda kutafuta uzi wangu na kuanza kutabiri umri wangu.(what is that..?!)..ujifunze kuheshimu kila mtu jf na ujue watu hapa wapo aina ya watu tofauti tofauti na kutoka kila mahali..
 
kitu pink, njawahi labda nimchopoke zombie?

Umefanya wapi hiyo sensa kuona hakuna mswahili kaoa mhindi? Aub wahindi wa tz wako upanga tu?

Mwabuki kuna mmoja kaoa mhindi tena kuchi kuchi hotahe orijino.

Mwisho wa macho kuona ni pale uwezo wa kuona unapoishia...but there is beyond the scope

Shiiiiiiii!!
Ebu taratibu kwanza! Hivi wahindi tunawafahamu vzr? Huenda watu mnabishana bila kuwa na mipaka ya ubishani. Zamani kabla sijawajua vzr waasia wasio na chinese eyes nlikua najua ni wahindi (ofcoz wahindi ni majority).

Lakini la, Tz hakuna wahindi tu (kwa tafsiri ya mtoa mada) mfano hivi m-Nepal, Bangladesh na Muhindi tunaezaje kuwatambua huku wote weupe na wana the same accent? Nilipokua shule ndio nikajua, chuoni wahindi wanajitenga sana ndio utawajua. Bila hivyo muasia yeyote anaeongea broken swahili usidhani ni muhindi.

Natoa dau $50 tu ikiwa kuna mtanzania kaoa m-Nepal, aseme sasa. Nitatoa hiyo faranga hapo. Maana nina rafik zangu wa Np yani wana very strong ties with their culture HAWAFANYI UHUSIANO NA NON-Nepalese. Hata wao kwa wao ni mpk muwe uko sawa ki-calibre ndio mtaoana. I.e kama we masikini ustegemee kupata mke Kathmandu, utaoa huko huko milimani.

Ila all in all wazungu huwa wanawamega..chezea shida ya umaskini
 
Wenyewe kwa wenyewe tu wanabaguana ndio wakuthamini wewe mtanzania...

Huko kwao kuna caste utasiki huyu lower caste huyu upper caste...hakuna hata kupanda tukutuku moja mkiwa caste tofauti...hivyo usishangae ukiona hawawezi kuji mix na ngozi nyeusi (with very few exceptions)

Yani lower caste hata kupata kazi ngumu...huo ni ubaguzi unatambulika (institutionalized)

Afu nina wasiwasi hawa wahindi wetu huku ni lower caste...ngoja nimdadisi shogangu wa kihindi hapa (alonifumbua kuhusu caste)
Nina wasiwasi huu sababu kuna muhindi mwingine alinambia wahindi wa Bongo wanatokea wapi sijuhi ila by then nilikuwa sijajua kuhusu caste...ngoja nifanye research...

Mkuu ni kweli kuna mifano michache sana ya ndoa kati ya Wahindi na Waswahili.

Swali la kujiuliza; ni kwa nini iwe hivyo wakati na wao wanajiita Watanzania?!

Kwa nini watake usawa kwenye mambo mengine yote lakini kwenye ndoa wajitenge?!
 
Uzi wenyewe ushaingia balaa, naona mkongwe wa jf kashikiwa chini ha ha ha, ni hatari ila wahindi wabaguzi mno, hata mtaani kuwa rafiki akijua utamfaidisha akishafaidika humuoni, usikumwema wajameni.
 
that is discussion nimukwmbia usiweke picha za ughibuni..soma uzi unasema tz..ungeweka picha za tanzania maana uzi umesema tanzania..tukaenda sawa.. Mwisho unakuja kutafuta tarehe nmejiunga lini..ili nini ..? Na kuanza kusema huyu mgeni..! Ili nini mkuu..!? Kwani ugeni ni nini..!? Why me coz mimi sivumilii mambo ya kitoto, mimi nipo mda mrefu sana hapa naonaga hizi bashing mnazofanyia watu wenye id mpya na watu wengine mkishindwa kuargue mnakimbilia ukongwe wa jf ..so what kama ni mkogwe..! Na wengine mnakimbilia personal attack kama ulivyoenda kutafuta uzi wangu na kuanza kutabiri umri wangu.(what is that..?!)..ujifunze kuheshimu kila mtu jf na ujue watu hapa wapo aina ya watu tofauti tofauti na kutoka kila mahali..
dude,grow up mentally and think beyond the scope.....''i said a million times-a pic is worthy thousands words''...sikusema pic za watanzania
btw:uache utapeli wa multiple ID..utakuponza
Usisahau;kubadilisha id sababu ya kutishiwa maisha si suluhisho...(very doubtful though)
nasisitiza:usikurupuke na shallow minded conclusion...
 
Back
Top Bottom