Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,539
Acha ushamba wewe, join date inamaanisha nini, unajua nipo jf tangu lini..! ? Unajaua nina id ngapi..? Unaijua id yangu ya zamani, acha ujuaji wa kitoto wewe. Nina uzoefu kuliko hata wewe hapa jf..
kuwa na multiple id ni ujanja kwako...kuwa na jinsia ya kike/id ya utapeli/kula ban kwa hoja hafifu kama zako/za kutongozea unaona wewe ni mjanja!!!lahaula jf inapotea.....yaani unajifaragua kuwa na ina ngapi...eti za zamani.....nyie ndio mamods wanawaendekeza,,,,,,pathetic