Internship ya wizara ya kazi, ajira na watu wenye ulemavu

king Davidson

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
252
1,063
Ndugu wana Jamii.

Wizara ya Ajira, kazi na watu wenye ulemavu Mwaka jana 2017 iliutangazia umma ya Vijana wahutimu wa vyuo kuwa Kuna nafasi za internship ila mpaka sasa Kuna ukimya wa ajabu Sana.

Za Chini chini ni kuwa wafanyakazi wa wizara husika walichomeka watoto wao pamoja na ndugu na mpaka leo hii nimepokea taarifa kuwa wapo kazini bila kutoa taarifa kwa maelfu ya Vijana walio fanya application.

Kwako waziri Jenista mhagama kwanini unaruhusu rushwa ambayo inachafua taswira ya serikali?

Anthony Peter Mavunde umetuangusha Vijana kwa kuleta kufahamiana wizarani.

Vijana mlio apply nafasi hizi tuambiane wangapi mmepata hizo nafasi
 
Ukijibiwa uniquote tafadhari ni mmoja wapo wa waliotuma maombi
 
Back
Top Bottom