Internship Tanzania baada ya kusoma nje

Internship Tanzania baada ya kusoma nje

We mtu...
Mimi ni mtu mzima najitambua na najua nini nafanya na ni muajiriwa, serikalini katika sekta ya afya, najua nn nafanya.
Epuka kudharau usiemjua
Hili litakusaidia
Unafanya kazi Serikalini halafu unakuja huku kuulizia sehemu ya kufanyia Internship? Are you mad bro?
 
Wewe unayejua kada ya afya ishu ndogo tu hii ya internship mbona imekutoa knockout hadi umekimbilia hapa JF??
Hii ndo kazi ya jamii forum, hii sio. Wambea forum, jamii forum, vipo vitu vingi tu vimepostiwa huku sasa si visingekuwepo. Wangekuwa huko mtaani wanajadili.

Wabongo buana nyie ndo mnalalamika ajira, hakuna na hakuna kwel mpka mnyooke
 
Mimi nimekuwa mtu wa kwanza kurespond kwenye huu uzi na nimejibu vizuri tu..ila nimechukizwa na tambo zako za kusema kuwa upo kwenye sekta ya afya na blah blah nyingi...
 
Mimi nimekuwa mtu wa kwanza kurespond kwenye huu uzi na nimejibu vizuri tu..ila nimechukizwa na tambo zako za kusema kuwa upo kwenye sekta ya afya na blah blah nyingi...
Sio Tambo izo,,, wewe ndo unaona Tambo...
That mind is crippled bro, usijione unatambiwa na kila kitu, Nilikua nakuambia ili Ujue unaongea na mtu mwenye exposure na anachokiongea,

Kama umeona Tambo na zimekukera umekoma

Na ulie kabisa,,
 
Hivi hawa human resource wanafanya intern ? Maaana tunao hapa hosp
 
Mimi nimekuwa mtu wa kwanza kurespond kwenye huu uzi na nimejibu vizuri tu..ila nimechukizwa na tambo zako za kusema kuwa upo kwenye sekta ya afya na blah blah nyingi...
Nna waswas na uwezo wako kwenye kutatua changamoto, sikuwaza kama unaweza sema hayo mawazo....

Usiwaze hivyo ndugu, hayo ni mawazo ya watu walioshindwa... Mtu akisema nna nyumba usione anatamba, niweke na wewe uje useme hio kauli one day
 
Sio Tambo izo,,, wewe ndo unaona Tambo...
That mind is crippled bro, usijione unatambiwa na kila kitu, Nilikua nakuambia ili Ujue unaongea na mtu mwenye exposure na anachokiongea,

Kama umeona Tambo na zimekukera umekoma

Na ulie kabisa,,
Anyway mkuu,tusibishane sana
 
Kwanza nianze Kwa kusema kuwa environmental health science ni kozi ya afya, Rejea vyuo vinavyoitoa kama MUHAS, KCMC.
Pili kuhusu internship, unapomaliza kutoka chuo ulichosoma , unakuja na vielelezo vyako vyote wizarani kwenye baraza husika, baada ya hapo unapangiwa internship wala hakuna ugumu
 
Alisikika mlevi mmoja
 
Cha ajabu nn, naishi na staff wenzangu nyumbani,, au
Wewew ni MBU MBU MBU, MA AMUMA, ndio sababu hata ukaingizwa mkenge huko nje kwenye hiyo kozi yako ukidanganywa ni KOZI YA UTABIBU. Hahahaha
 
Hello guys kuna course moja Nimeipenda ila cha ajabu huko nchi za wenzetu hawana internship ila hapa kwetu TZ Wanafanya intern vip kama ukisoma unaweza fanya intern bongo au watafanyeje wakati equity!!

Karibuni kwa mawazo.

Nafkiri ungetafuta kwanza kuelewa maana ya neno internship literally and contexually basi usingekua na haja ya kujaza server ya Jf kuuliza swali lako, au ungeliweka swali kwa ufasaha zaidi.

kwa lugha nyepesi na kwa ufupi, Internship ni mafunzo (to a student, trainee or graduate) kwa vitendo kwa ajili ya kupata uzoefu wa kazi.
Awe kasoma uandishi wa habari, procurement, udaktari, uhandisi ama hata uvuvi.

Sasa kutegemea na taaluma na alichosoma mhusika ndo intenrship inaweza kua na masharti ya muda (muda flani, mhandisi miaka mi3 nk), mitihani, reports au hata kusiwepo na masharti yoyote na ikawa only a transition kuelekea kwenye kazi.

yani mkuu, mheshimiwa sana, with all due respect, unaonekana hujui afu hujui kua hujui, full of attitude.
relax, ask and learn.
 
kusoma nnje au kusoma ndani ya nchi hakuna mahusiano na internship.
iwekee mada yako context
1. kusoma kozi gani na wapi na
2. matakwa ya taaluma ipi kwa nchi ipi?
ndo upate mawazo kwa ufasaha zaidi.
 
Back
Top Bottom