NOKIALUMIA
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 396
- 279
Hello guys, kuna course moja nimeipenda ila cha ajabu huko nchi za wenzetu hawana internship ila hapa kwetu Tanzania wanafanya intern. Vipi kama ukisoma unaweza fanya intern bongo au watafanyeje wakati equity!
Karibuni kwa mawazo.
Karibuni kwa mawazo.