Internship hospital nzuri nje ya za Dar es Salaam

Kidawa_hiphop

Senior Member
Joined
Jul 7, 2018
Posts
184
Reaction score
282
Salaaam wana jukwaa wa Jf

Nina jamaa yangu yupo nje ila anatarajia kurudi bongo kufanya internship na ameniomba nimchagulie hospital ambayo iko nje ya Dar maana hapendi kuishi Dar.Hospital gani aombe ili afurahie internship yake kwa kuzingatia maisha marahisi,upatikanaji wa makazi mazuri na mengineyo?
 
Kama anataka nje ya mji aje St.francis Ifakara
 
Back
Top Bottom