Internet ya vodacom ni balaaaaaa

Internet ya vodacom ni balaaaaaa

oxlade

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
601
Reaction score
96
Jamani sijawahi kutumia vodacom ila nimejaribu kwa mara ya kwanza leo na nimeingia kwenye hii ofa yao ya unlimited kwa sh 200 usiku, natoa ushuhuda kuwa kasi nliyokumbana nayo ni ya ajabu jamani sijawahi ona, napakua vitu kwa kasi ya moto sana
 
uko wapi? mimi inanizingua nimeipotezea kabisa!
 
Mi ile ya 250 ilikuwa poa ila hii,
upuuz mtupu mine enjoy col za bure wit sms c NET
 
Jamani sijawahi kutumia vodacom ila nimejaribu kwa mara ya kwanza leo na nimeingia kwenye hii ofa yao ya unlimited kwa sh 200 usiku, natoa ushuhuda kuwa kasi nliyokumbana nayo ni ya ajabu jamani sijawahi ona, napakua vitu kwa kasi ya moto sana

Ndio unajiungaje.?
 
Mi nimejiunga bundle ya mwezi najipatia high speed ya ukweli. Tigo huwa najiunga ya day kwaajili ya dakika15 na SMS100 tu
 
Jamani sijawahi kutumia vodacom ila nimejaribu kwa mara ya kwanza leo na nimeingia kwenye hii ofa yao ya unlimited kwa sh 200 usiku, natoa ushuhuda kuwa kasi nliyokumbana nayo ni ya ajabu jamani sijawahi ona, napakua vitu kwa kasi ya moto sana

Promo only.
 
vodacom kweli inaspidi najiungaga 250 ila tigo mmh sms 100 na dk 15 tu c neti
 
vodacom ya ukweli ndio mtandao wangu.!
 
Jamani sijawahi kutumia vodacom ila nimejaribu kwa mara ya kwanza leo na nimeingia kwenye hii ofa yao ya unlimited kwa sh 200 usiku, natoa ushuhuda kuwa kasi nliyokumbana nayo ni ya ajabu jamani sijawahi ona, napakua vitu kwa kasi ya moto sana

Unajiungaje mkuu.
 
Kweli unajionganoishaje iyo. bundle tuone na sisi
 
Back
Top Bottom