Internet ya bure kwa watumiaji wa Airtel

Internet ya bure kwa watumiaji wa Airtel

Uncle Rukus

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2010
Posts
2,415
Reaction score
398
Wakuu,

Mtandao wa Airtel umetoa offer ya internet kwa siku 3 , hii ni kwa watumiaji wa simu pamoja na Modem... Offer hii inaanza kesho ijumaa hadi jumapili saa 6 usiku.

Na wasi wasi uenda wakatubania spee d ya internet,pia nadhani kuna kitu wanataka kuangalia.
 
Too Good to be true!..
Ukipata tumia, ukikosa jutia!
 
Let's look on the -ve side. Kutokana na kwamba watu wengi wanaisubiria hii offer, it's precise kwamba speed inakuwa low and sometimes connection itakuwa unavailable as server itakuwa na too much users online.
 
Nadhani ili ndilo lengo lao la kupima uwezo wa server zao n'k
 
ngja niwekee line ambyo haina crdt afu nione....
 
Wametudhurumu sasa wanataka kutufuta machozi.... kesho ndo watajua sasa Movie kesho zangu!!!
 
hivi kesho inaaanza saa sita usiku wa leo?
 
Huu uongo au ukweli umeutoa wapi?
Unataka kuwatoa watu udenda bure!
 
Labda Wanataka kufanya majaribio ya connection yao mpya ya 3G kwamba ina uwezo kimudu watumiaji wengi kwa kiasi gan
 
Back
Top Bottom