Internet ya bure kwa watumiaji wa Airtel

Wizi ule ule tu! Ofa gani ya Usiku wa manane, hii ni sawa na kwenda kulala kwa mke wa mtu nyumbani kwake usionwe! Lol.
Huu ni UZINIFU WA MAWASILIANO :lol:

UMENIPA RAHA MKUU, ati "uzinifu wa mawasiliano" cjuw kwa kimombo inaitwaje hyo!
 
Mkuu, naomba uniambie kosa langu liko wapi hapa? Ni kwa mimi kuleta hii habari au kwa kuwaambia kuwa kuwa juzi nilitumia net pasipo kukatwa salio?

Maana naona umeniandama sana kama vile mimi ndiye ninayetoa hiyo offer, ukifutilia kwa makini hii thread utajua ukweli wangu na uongo wangu usipate shida sana kwa kunisakama.

mkuu mimi sioni tatizo ni hii thread yako. Ila tu hii offa hatuipati watumiaji wote wa airtel. Wengine wanakatwa salio kama kawaida
 
mkuu mimi sioni tatizo ni hii thread yako. Ila tu hii offa hatuipati watumiaji wote wa airtel. Wengine wanakatwa salio kama kawaida

Mkuu, Sidhani kama hii thread ina tatizo, tatizo ni Airtel wenyewe walio toa tangazo ambalo limechangaya watu.
 
Inakuwaje?Mbona mi tangu ninunue bandle yao ya 400Mb Ijumaa wamekuwa wakinikata every time that i go online???:angry:
 
ndugu wadau ni kweli kabisa ofa ilitangazwa ya kutumia 200mb bure kabisa kuanzia saa sita usiku hadi 12 hasubuhi lakini kidogo mitambo ilipata tatizo hivyo tatizohilo likawa linashughulikiwa kwa maana hiyo tunategemea ofa kuwepo kama kawaida next weekend,wote msio na line za airtel mkanunue sasa na kujiungana airtel ni kuandika neno "internet" kwa herufi ndogo kisha unatuma kwenda 232,ukiona unashindwa kujiunga tafadhali pm me your phone number,nawakumbusha pia mkasajili line zenu za airtel ndugu zangu...
 
Hah hah hah! Nafurahi kukuona hapa hope utanisaidia kumalizia mchakato wangu wa kuchachua *****.. Karibu sana jukwaani!
 
uncle hapa hamna kuchakachua hahaaa unataka tukale polisi....
Dah! usiwe muoga kiasi hicho mkuu,,, mkuu tatizo mnafanya hivi vitu kuwa anasa kwa wengi wetu ndio maana fikra za uchakachuaji haziishi vichwani mwetu...
 
kwa nin msitualert kma kunatatzo kulko kuuchuna mpla w2 wanapoteza matumain na intanet ya sim ya hewa.....mpka 2lalamike ndo mnaongea poor airtel mgt
 
swali @ccr airtel
umelitolea ufafanuzi hili swala la neti ya bure kutoka airtel ambalo bado ni kizungumkuti, lakini napenda kujua kama wewe ni msemaji wa airtel au unahusika vipi na airtel au na wewe umesikia ktk vyombo vya habari kama muanzisha thread au unaleta flovour tu ktk hili li sredi?
I am curious cause ur new to this forum, wengi hatukufahamu.
 
mimi sio new in this forum sema nna jezi mbali mbali hii ni jezi yangu namba saba mgongoni...
Hizo taharifa ni za kweli mkuu
kuhusu mimi ni nani ni mfanyakazi tu wala sio msemaj,lakini sidhani kama kuna ubaya wa kuwajulisha hasa katika wakati ambao naona mpo kwenye dilema wanchi wangu.
 
Dah! usiwe muoga kiasi hicho mkuu,,, mkuu tatizo mnafanya hivi vitu kuwa anasa kwa wengi wetu ndio maana fikra za uchakachuaji haziishi vichwani mwetu...

Hamnamme sio muoga sema nipo kama 20% "sina tamaa" si unajua tamaa mbaya...haya maisha ni marahisi tu ukikomaa mkuu fanya juhudi za kuongeza kipato maradufu kila kitu kitakua shwari nautaanza kulalamika mbona bei zimekua rahisi sana skuizi wanapata faida kweli?
 
wakuu naomba mnisaidie kitu kimoja modem yangu ninayo tumia haitaki kuunganisha na browser yoyote je kwann njulishen wakuu wangu pwaaaaaaa
 
wakuu naomba mnisaidie kitu kimoja modem yangu ninayo tumia haitaki kuunganisha na browser yoyote je kwann njulishen wakuu wangu pwaaaaaaa

haujaeleweka eleza vzur una2mia modem ya mtandao gani? pa1 browser gani?... AU itakuwa hujalipia bundle
 
me niameanza kutumia, kama j5 hv, line yangu in shilingi 4, ila nadownload video kwenye youtube fresh kama mbili au tatu kwa siku, ila inanza saa 5 usiku, proved.
 
Back
Top Bottom