Good Guy
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 3,822
- 1,432
kumbe ni kuanzia saa 5:00 usiku hadi ssa 12:00 asubuhi? Kama ni hivyo hii ni wizi mtupu
correction ni kuanzia saa tatu usiku mpaka saa kumi na mbili asubuhi,imetanganzwa kwenye radio kwa hiyo ni ukweli. I on the other hand have a 400mb bundle and i dont care abt that. Plus nimesikia pia hii ni ofa ya muda mfupi usishangae ikaisha hata baada ya pasaka!