NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,284
Hivi karibuni kampuni moja iliyopo New York imetangaza kua ina mpango wa kurusha Wi-Fi ya bure kutoka angani kwa kutumia satellite ambapo itaweza kumfikia kila binadamu kokote kule aliko ilimradi tu awe na chombo chochote kinachopokea wireless network kama simu au kompyuta..
Plan ni kutengeneza satellites nyingi na kuzilaunch angani, data itakua inarushwa kutoka station iliyopo ardhini na satelites hizo zitakua zinasambaza, hii ni habari nzuri kwanza sababu internet bure, pili kila kona itafika hadi wale waliojichimbia vijijini nyamwaga, sijui nyamongo, geita, kote internet itakua inapatikana, finally wataigia tujumuike pamoja JamiiForums
Wamepanga kulikamilisha hilo kufikia mwezi wa sita mwakani na kufanya testing kwanza kabisa kama wataruhusiwa katika Nasa Space Station.
Source
New York company says it can beam free OUTERNET Wi-fi to every person on Earth | Mail Online
Na nyingine nyingi, imetamba news station nyingi we google tu kufuatilia zaidi..