mkuu
GODFATHER ABIHUDI hao airtel nawapenda sana laikini nilihama kwasababu ya tatzo la internet..
jamaa wapo hovyo sana kwenye net,somtimes unaweza ukawepo katikati ya mji na 3g isiwepo..
UNAJUA KWANINI WATU WANAING'ANG'ANI VODACOM PAMOJA NA MAUDHI YAKE YOTE.?NI KWASABABU YA UBORA WA INTERNET YAO..
HAMIA VODA..