Internet nje ya miji

King_Villa

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
575
Reaction score
380
wakuu naombeni msaada.. nimetoka katikati ya mji juzi baada ya nyumba yetu ya iliyo nje kidogo ya mji kuisha..sasa dah ninapata shida ambayo sijawi kuipata ninapotaka ku surf mambo yangu kwenye net, sababu hata simu yangu haijawai kusoma 3g hata siku moja kila siku ni E<Edge>, yan napata shida kiukweli ,hata kudownload vitu vya mb 2 ni kazi kwelikweli, natamani kurudi town ila ndo nyumbani ni nyumbani tena...sasa hakuna mautundu ya kufanya kupata internet ya maana.............heshima yenu wakuu.............
 
Sidhan kama eneo ulilopo hakuna 3G kabisa......
Ila kwenye modem mi nakushauri fanya network settings kwenye dashboard alafu weka 3G only isiwe kama ni preffered..... Natumain utaweza fanikiwa
.
Kuhusu simu sijajua ni aina gani ya simu unatumia.....
.
 
network gan unayotumia?
baadh ya mitandandao 3G ni kwa maeneo machache na c unavodhan kila sehem ina huo uwezo
 
asante mkuu ,yaani ninavyokwambia ni hivyo ila tu nikitembea kama 3km kutoka eneo nnalokaa 3g inakuwa coverd, ntacheki setting iyo ya moderm,,then natumia simu ya ideos ni android os.
 
Pole mkuu GODFATHER ABIHUDI, Tanzania yetu ile ile,Niko mjini na sasa ninamaliza karibu wiki nikiwa na internet yenye kusua sua, hata ukijaribu kuweka Unlimited bundles and the like, hakuna lamaana.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mtumiaji anatwambia hapati kabisa 3G na wewe unasema haiwezekani, wakati katwambia kabisa kwamba yupo nje kidogo ya mji? Na akiweka 3G only wakati huko aliko haipatikani ina maana atakuwa offline kabisa.
 
fungua cm kwenye kwenye sehemu ya network inapogusa vibati unga waya. utoe nje unga na antena ya dstv au startimes. lazima network ipande na itakamata 3G
 
Amna kiongozi
hata ww unaweza ukawa hupati kabisa lakini ukifanya settings kama hizo unaweza kuipat....
.
Modem huwa zipo hivyo some times
 
fungua cm kwenye kwenye sehemu ya network inapogusa vibati unga waya. utoe nje unga na antena ya dstv au startimes. lazima network ipande na itakamata 3G

.
Bora kuacha kabisa
.
 
fungua cm kwenye kwenye sehemu ya network inapogusa vibati unga waya. utoe nje unga na antena ya dstv au startimes. lazima network ipande na itakamata 3G

Five star situation. Really hata kwa mordem
 
Tatizo hutaki kusema nje ya mji gani, nje kidogo ya mji wa dar, dodoma, iringa, arusha, mwanza au mbeya?.

Nakushauri ujaribu line nyingine tofauti na airtel, jaribu tigo, voda, zantel au ttcl. Mimi nime-experience hii nilipohama nyumba tu ndani ya mtaa mmoja, kabla nilikuwa natumia airtel nilipohamia nyumba nyingine airtel ikawa slow sana nikaamua kuchakachua modem iingie line zote na sasa vodacom na tigo zinakimbiza vibaya hapa.

Jaribu hivyo na unipe feedback, na je ni modem model gani unayotumia?.
 
fungua cm kwenye kwenye sehemu ya network inapogusa vibati unga waya. utoe nje unga na antena ya dstv au startimes. lazima network ipande na itakamata 3G

sio bomu hapo mkuu......
 
nje ya mji wa dar ..eneo linaitwa chanika, yani mkuu ata kuongea na mtu lazima uongee kama unakipaza sauti..
 
Chanika kuna 3g mkuu. Jaribu line tofauti kama nilivyoshauri.

ndio, uwepo wa 3g mkuu upo lakini unapotea kulingana na unavyokwenda mbali na minara yenye devices za 3g. sasa mimi sipo karibu na mnara wa aina yeyote na nimejaribu mitandao mingine bdo ni ivyoivyo,sema ssa nikiwa na serious case nasogea karibu na mji kidogo ndio napata 3g.
 
mkuu GODFATHER ABIHUDI hao airtel nawapenda sana laikini nilihama kwasababu ya tatzo la internet..
jamaa wapo hovyo sana kwenye net,somtimes unaweza ukawepo katikati ya mji na 3g isiwepo..
UNAJUA KWANINI WATU WANAING'ANG'ANI VODACOM PAMOJA NA MAUDHI YAKE YOTE.?NI KWASABABU YA UBORA WA INTERNET YAO..

HAMIA VODA..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…