sasa h si usiku peke yake mkuu??Wajanja night, Tsh.500 @ 1GB.
habari wakuu,mimi mda mwingi natumia internet kutokana na kazi zangu ,so nilikuwa naomba kama kna njia nyingne ya kunisaidia atleast na mimi nipate cheapest way ya kununua internet coz kwa siku natumia hadi 2000

Jamani wanye uelewa mje hapa mtuaaidir manake hata mimi natumia sana internet ila nimechoka na hawa tigo ni wezi kupitiliza niliunga kifurushi cha mwezi cha elfu 30 ambacho wao wanasema ni internet unlimited kuperuzi na Gb 3 ya kudownload lakini cha ajabu niliitumia kwa ck 3 ikaisha na sikudownload chochote nimewapigia customer care kila mhudumu anakupa jibu lake.
Vodacom wana unlimited volume plan tsh 40,000 /month
Hiyo ni rahisi kuliko 2000 /day unayolipa sasa, the best thing ni kuwa unatumia mwezi mzima na unadownload kiasi chochote
So far kwenye mobile networks hakuna plan nyingine rahisi zaidi ya hiyo
habari wakuu,mimi mda mwingi natumia internet kutokana na kazi zangu ,so nilikuwa naomba kama kna njia nyingne ya kunisaidia atleast na mimi nipate cheapest way ya kununua internet coz kwa siku natumia hadi 2000
sio kweli kama ni truly unlimited download. unapewa GB chache tu za kudownload ambazo hazifiki 10. zikiisha utaruhusiwa ku browse tu
kabang ya wiki 3500
kabang ya mwezi haina speed kama hii ya wiki, ya siku pia haina speed kama hii.
Mbona kama wadownload porn hapo,?
kabang ya wiki 3500
kabang ya mwezi haina speed kama hii ya wiki, ya siku pia haina speed kama hii.
Je ni unlimited speed download/stream wiki nzima au wanapima kwa kijiko?
mb kama 700 tu za kudownload iLa tigo mtandao wa wajanja inabidi uwe mjanja
Nimekusoma Comrade !!
Baada ya hizo 700Mb speed inashuka hadi kwenye ngapi?
Hizi bando za tigo na voda mizinguo tu, bora wi fi, ina speed na haina limit, tatizo ziko chache mpaka maofisini