Internet is cheaper in Kenya than Tanzania averagely

Endelea na Kama... Kama... Kama sio...
Failed state

Kama sio Kibaki na Mutahi Kagwe back in 2009, Tanzania sasa hivi bado mngekuwa kwa satellite internet. Speeds za 50kbps.
Kenya brought undersea fibre to East Africa. Tanzania and Uganda jumped on the bandwagon not to be left behind.

Hahaha hivi unadhani ukijificha nyuma za hizo screenshot ndio njaa itaisha kenya unajidanganya na endelea kuhifadhi hizo screenshot kwa simu yako,
Failed state kenya.

Kutoka Ireland mpaka Turkey... hakuna media haishangazwi na Tanzania.

tz3.JPG
 
Siwezi shangaa maana ni mabwana zenu mnawalamba miguu
Aibu kama hii hapa chini

Jambo la kwanza kama uko na akili, UAE hailimi. Hicho chakula walinunua kwingineko.
Jambo la pili, UAE iko na matrilioni za mafuta.

Jambo la tatu, Kenya afadhali tukufe njaa, lakini hatuwezi kula albino.

tz4.JPG
 
Hahaha mnapewa misaada na nchi jangwa kwa sababu mashamba yenu yenye rutuba nzuri yanamilikiwa na wazungu huku wakilima mazao yasiyo faa kwa chakula huku mamilioni ya wakenya wakiachwa bila kitu
Kennyatta family pekee inamiliki mashamba yanayotosha wakenya wote,

Hii aibu sana malori yanaenda hadi ikulu kutoa misaada,
Hizo screenshot Haziwezi kukuletea chakula.

View attachment 1197793
 
According to your rotten pumpkin? TTCL supplies Internet almost to the whole of this region, now is connecting SADC countries to the fibre optic cables
Tanzania is a technological desert where such things are both expensive and rare.Hao SADC wote wana mitambo zao bora hawahitaji Bongolala za Tz.
 
Hahaha mnapewa misaada na nchi jangwa kwa sababu mashamba yenu yenye rutuba nzuri yanamilikiwa na wazungu huku wakilima mazao yasiyo faa kwa chakula huku mamilioni ya wakenya wakiachwa bila kitu
Kennyatta family pekee inamiliki mashamba yanayotosha wakenya wote,

Hii aibu sana malori yanaenda hadi ikulu kutoa misaada,
Hizo screenshot Haziwezi kukuletea chakula.

Yani Kenya wananichekeshaga kitu kimoja.
Wenzao wanaongelea current issues wao wanaleta habari za albino past news huko 5 years ago!!!!
Ilhali wao currently wanakumbwa na njaa.
 
Wamehishiwa maneno hawa
Wanadhani labda wakileta past news watashinda argument, sisi tunaleta current news.
Yani Kenya wananichekeshaga kitu kimoja.
Wenzao wanaongelea current issues wao wanaleta habari za albino past news huko 5 years ago!!!!
Ilhali wao currently wanakumbwa na njaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom