Internet inapozimwa lengo ni nini?

Internet inapozimwa lengo ni nini?

Kiby

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2009
Posts
6,932
Reaction score
4,697
Inaonekana nchi zote mzungu anazoziwekea vikwazo hufikia mkwamo na kuhitimisha hiyo hali kwa kuuana wenyewe kwa wenyewe.
Haya ndiyo yanayoendelea huko Zimbabwe baada ya kuzimwa internet.
IMG-20190119-WA0025.jpeg
IMG-20190119-WA0020.jpeg
IMG-20190119-WA0021.jpeg
IMG-20190119-WA0016.jpeg
IMG-20190119-WA0017.jpeg
IMG-20190119-WA0018.jpeg
IMG-20190119-WA0022.jpeg
IMG-20190119-WA0018.jpeg
IMG-20190119-WA0019.jpeg
IMG-20190119-WA0015.jpeg
IMG-20190119-WA0014.jpeg
IMG-20190119-WA0013.jpeg
IMG-20190119-WA0011.jpeg
IMG-20190119-WA0012.jpeg
IMG-20190119-WA0010.jpeg
IMG-20190119-WA0009.jpeg
IMG-20190119-WA0008.jpeg
IMG-20190119-WA0007.jpeg
IMG-20190119-WA0006.jpeg
IMG-20190119-WA0004.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejaribu kuondoa ile picha ya mwisho ya basi lililopinduka hiyo nimeipandisha kimakosa. Basi hilo lilipinduka upande wa zambia.
Pia nina video nashindwa kuipandisha jukwaani hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zimbabwe ishakuwa DRC, Mnagngwa anaonja kile alichoasisi mwenyewe wakati akiwa Swahiba wa Mugabe na akiwa CDF. wakilinda maslahi Ya ZANUPF.



majuto ni mjukuu.
ni sawa na yanayomkuta Lowasa, ni yale yote aliyounga mkono dhidi ya upinzani, hakuwa kuua ipo siku atakuwa mpinzani na kuonja aumivu.
 
Hapo ndio huwa nashangaa AU Sijui hiko kwenye syllabus kwa nini? Wamekaa kimya mpaka wasikie EU kasema ndio waje kupinga.
 
Back
Top Bottom