Download yenye full patch then install while umeizima ur antivirus baadae ru dat patch file itakuwa cracked n utatumia labda mpaka pc yako iharibike
- Download IDM setup 6.19 build 2 hapa: http://goo.gl/pQDNsZ
- Download Latest IDM Activator hapa: IDM Universal Activator.rar - Solidfiles
![]()
- ScreenShort
![]()
![]()
- Karibu Excel
niliwai kuinstall IDM na muda ukaisha wa trial version. sasa inagoma kupata tena trial version tena et hadi ninunue. hata niki uninstall na kuweka upya inakataa. msaada wataalam, naitaka hiyo tu ndo nilishazoea. NATANGULIZA SHUKRAN
Tusubiri wataalam walobobea, msaada utapatikana tu
purchase on line if you can't afford just format u'r computer then install it again over .
Download yenye full patch then install while umeizima ur antivirus baadae ru dat patch file itakuwa cracked n utatumia labda mpaka pc yako iharibike
Mkuu ungeandika kwa kiswahili au kingereza au unge changanya tu !
.
fanya unistallation then ingia disc C kwenye programm files angalia golder la idm mark then piga permanent delete kwa ku press shift+ del then restate ur pc halafu install tena hiyo IDM yako:juggle:
kama umeshadakwa idm inaficha mafile ya siri kwenye pc yako hivyo kila ukieka idm yale mafile yanaipa taarifa idm kuwa huyu jamaa ni mwizi. ni hope less hata urudie ku install upya mara elfu moja still itakwambia hivyo.
solution ni kumtoa idm pamoja na mafile yake ya siri. lakini kazi hio windows installer/un installer hiwezi kufanya inabidi utafute software nyengine ya kuitoa hio idm.
download revo uninstaller halafu itumie hio kuitoa idm. tumia advance mode toa mafile ya kwenye registry na popote yalipo masalia ya idm, ukimaliza install upya idm itakubali
Nashukuru sana mwl.rct njia yako imemaliza tatizo langu! Na ubarikiwe sana.