Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,606
Habarini wakuu.
Vifurushi vya internet vinatumaliza sana,makampuni hayaeleweki, kuna kama vifurushi hewa, vifurushi vya uongo.
Halotel wakikwambia una 1.5 GB usiwaamini kabisa, halisi zinakuwa 800 MB, 700 MB ni hewa kabisa.
Voda vifurushi vyao vinaisha haraka sana na havina speed kabsa.Ukiwa Dsm ni balaa zaidi.
Tigo nao vifurushi vyao vinapukutika mno.
Wandugu, ni mtandao gani una vifurushi vizuri, vya bei reasonable na unapatikana maeneo mengi hasa vijijini? Airtel vipi wakuu?
Internet bundles zimekuwa issue sana,
Nawasilisha wandugu.