Mugabe one
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 2,327
- 1,684
Wewe vodaunasikia waulize watumiaji wa internet watakumbia me kazi yang u ni kuflash simu Akuna mtandao nisiotunia voda una downlod file mpka mb 5 secHabarini wakuu.
Vifurushi vya internet vinatumaliza sana,makampuni hayaeleweki, kuna kama vifurushi hewa, vifurushi vya uongo.
Halotel wakikwambia una 1.5 GB usiwaamini kabisa, halisi zinakuwa 800 MB, 700 MB ni hewa kabisa.
Voda vifurushi vyao vinaisha haraka sana na havina speed kabsa.Ukiwa Dsm ni balaa zaidi.
Tigo nao vifurushi vyao vinapukutika mno.
Wandugu, ni mtandao gani una vifurushi vizuri, vya bei reasonable na unapatikana maeneo mengi hasa vijijini? Airtel vipi wakuu?
Internet bundles zimekuwa issue sana,
Nawasilisha wandugu.

Nikweli kwa bei tu airtel wako vizuri lakini kwa speed ndio wa mwisho kabisa hapa nilipo Lake Zone wilaya furani hivi mjini radio za online hazishiki na utube inakatikakatika kwa 3gAirtel bbalao ukijiunga kifurushi cha chuo kwa sh1000 unpta dkka 10 mitndao yte dkka 100 airtel kwnda airtel na GB 2 za Internet kwa cku tatu alaf spid yke iko poa karb maeneo yte tz
Sent using Jamii Forums mobile app
airtelHabarini wakuu.
Vifurushi vya internet vinatumaliza sana,makampuni hayaeleweki, kuna kama vifurushi hewa, vifurushi vya uongo.
Halotel wakikwambia una 1.5 GB usiwaamini kabisa, halisi zinakuwa 800 MB, 700 MB ni hewa kabisa.
Voda vifurushi vyao vinaisha haraka sana na havina speed kabsa.Ukiwa Dsm ni balaa zaidi.
Tigo nao vifurushi vyao vinapukutika mno.
Wandugu, ni mtandao gani una vifurushi vizuri, vya bei reasonable na unapatikana maeneo mengi hasa vijijini? Airtel vipi wakuu?
Internet bundles zimekuwa issue sana,
Nawasilisha wandugu.
Halotel wananiokoa sana, speed yao ipo vizuri. Huwa natumia kifurushi cha usiku GB 10 kwa 1,500 ambapo mitandao mingine napata 4Gb kwa hiyo bei. Halotel na Airtel ni mkombozi kwangu. Airtel huwa natumia kwa matumizi madogo madogo ya kudownload.Mi ni halotel yatosha kwa sasa. Voda iko ghali kwa matumizi yangu internet kuwa makubwa, TTCL coverage yao ndogo sana, Tigo wahovyo sana na Airtel siipendi tu...
Airtel labda kwa baadhi ya mikoa ila ninapoishi. Kudownload kitu chenye mb 5 unachukua dk 30airtel ni the best
voda ni fake na wezi sana
Pamoja sana Gregoire'sHalotel wananiokoa sana, speed yao ipo vizuri. Huwa natumia kifurushi cha usiku GB 10 kwa 1,500 ambapo mitandao mingine napata 4Gb kwa hiyo bei. Halotel na Airtel ni mkombozi kwangu. Airtel huwa natumia kwa matumizi madogo madogo ya kudownload.
Kama una matumizi makubwa Airtel utalia, speed ya konokono. Halotel ipo poa.
Mi nadhani spidi ya mtandao inategemea na mahali,Halotel kwa mb ni habali nyingine ingawa voda kasi yao iko vizur but wana gharama kubwa kwenye vifurushi vyao!
Bado Na Hyo ni wizi mtupu mi najiunga Hyo bado ibaisha kwako wiki tuMie nimejiunga na vifurushi vya chuo nikieka
10000 napata GB10,dakika 80 mitandaoyote na 1200 Halotel tuu mwezi mzima huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Airtel ni majanga.Habarini wakuu.