Mtandao ganiMwenye ujuzi wa kuunga bundles naomba kujua jinsi wanavyounga hivyo vifurushi ikiwa ni Salio la SMS kupiga na kuperuzi(internet).
Hiki hapa konk cha halotel cha Royal bundle 10k kwa mwezi internet mwez mzima hata ukitumia kila siku gb 10 ni ww tu na dakk za mitandao yote 120 na halotel kwa halotel dakk 300 hizo sms 500 hizo gb hizo 3.5 ni za kasi kubwa ila hata zikikata siku hiyo hiyo Internet haikatiki unaendelea kuperu mwez mzima ukipiga hesab hapo kila siku unakuwa umetumia 300 tu. Ni mtandao gani ama kifurushi gani kingine cha nafuu kama hiko hapa tz!??Mwenye ujuzi wa kuunga bundles naomba kujua jinsi wanavyounga hivyo vifurushi ikiwa ni Salio la SMS kupiga na kuperuzi(internet).
Hiki hapa konk cha halotel cha Royal bundle 10k kwa mwezi internet mwez mzima hata ukitumia kila siku gb 10 ni ww tu na dakk za mitandao yote 120 na halotel kwa halotel dakk 300 hizo sms 500 hizo gb hizo 3.5 ni za kasi kubwa ila hata zikikata siku hiyo hiyo Internet haikatiki unaendelea kuperu mwez mzima ukipiga hesab hapo kila siku unakuwa umetumia 300 tu. Ni mtandao gani ama kifurushi gani kingine cha nafuu kama hiko hapa tz!?? View attachment 1211329
Inawezekana mbona [emoji3][emoji3] sema ukiadithiwa ni kama vile uongo flani hvi lkn ni kweli. Cha msingi wee nunua line ya royal ufaidi net mwezi mzima.Mkuu mbona kimeandikwa Gb 2 kasi kubwa,Gb 1.5 wastani na wewe hapa mkuu umeandika hata kwa siku ukitumia GB 10 ni sawa,hapa inawezekanaje mkuu?
InawInawezekana mbona [emoji3][emoji3] sema ukiadithiwa ni kama vile uongo flani hvi lkn ni kweli. Cha msingi wee nunua line ya royal ufaidi net mwezi mzima.
Ila ukishamaliza hizo gb 3.5 kasi inapungua kidogo lkn fb, insta na Twitter unateleza kama ulaya.