internet banking & paypal msaada kabla sijaanza matumizi

Eraldius

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Posts
1,123
Reaction score
913
kesho natarajia kufungua account crdb lengo likiwa niweze kununua sofware na unlock code.Vipi mlotangulia kutumia internet banking na paypal sitapata maumivu? Msaada jamani.
 
Internet banking has nothing to do with this
Unapofungua acc CRDB unapata Visa au Master Card, hizi card ndio unazi link na Pay Pal, hapo sasa ndio utaweza kununua hizo makitu na Pay Pal watachukua pesa kwenye acc through Visa/Master card na kumlipa mlengwa
 
Hakuna shida hapo. Lakini kama ni softwares tu hizo ungesema hapa watu wangekusaidia.
 
kesho natarajia kufungua account crdb lengo likiwa niweze kununua sofware na unlock code.Vipi mlotangulia kutumia internet banking na paypal sitapata maumivu? Msaada jamani.
  • Ni salama kabisa.
  • Cha kuzingatia kamwe usi link kadi yako ya benki direct.
  • Hakikisha malipo yote yanapitia paypal
  • Kwa hii bank CRDB inahitaji ufuatiliaji kigo mpaka ufanikiwe kuanza kufanya malipo kwa paypal, kuna usumbufu kidogo.
 
Internet banking has nothing to do with this
Unapofungua acc CRDB unapata Visa au Master Card, hizi card ndio unazi link na Pay Pal, hapo sasa ndio utaweza kununua hizo makitu na Pay Pal watachukua pesa kwenye acc through Visa/Master card na kumlipa mlengwa

Asante mkuu, kuna thread nimejaribu kuipitia ishawekwa hapa inasema internet banking ni ya muhimu. Sasa sijui kuhusu hili
 
nawashukuruni nyote kwa michango yenu, naona hii itanichukua muda, wakati naendelea na process za kufungua account, kama kuna mtu ana uzoefu tuzungumze aninunurie nimtumie pesa
 
Na mimi pia wadau naombeni msaada wa kudownload Instagram kwenye hii BlackBerry yangu maana kila nkitest nadaiwa 0.99£

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Msaada kwa mtu aliyewahi kutumia internet banking ya CRDB, mbona hii kitu haifunguki? Iko kama pambo la webapage tu. Kila ukijaribu kui-access the page does not load or there is loading problem, why? why?? Mwenye ujuzi tafadhali! Web address yake ni hii https://ibank.crdb.com/ ila ndo hivyo haifunguki!
 
LhVYnS
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom