Internent banking crdb

Internent banking crdb

Nyamuleha jr

Senior Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
185
Reaction score
65
Nimechukuwa form ya kujiunga na internent bank ili niweze kufanya online transaction sasa hapa chini kuna nafasi tano za account to be linked unazipataje
 
siyo lazima we jaza account yako kama unayo zaidi ya moja ndo endelea kujaza hiyo sehemu!
 
Poa mkuu kwanza mimi nilichukua fomu ambayo siyo kumbe nilitakiwa kuchukua ile ya purchase
 
Back
Top Bottom