misha nyangassa
Member
- Mar 29, 2015
- 95
- 41
Ni kosa kisheria?Ni simple sana .
Ila kwa usalama wako siwez kushare hii information kwa urahisi ingia google.
ndio mkuuNi kosa kisheria?
So pia inawezekana kwa hizo devices mbili zikatumia IMEI moja?Ni simple sana .
Ila kwa usalama wako siwez kushare hii information kwa urahisi ingia google.
Boss I need to try that oneInawezekana vizuri kabisa tena bila hata kufrash simu yako .lakini kwa mujibu wa TCRA na hati miliki kisheria hailuhusiwi
Hujaisave mahali au may be kwenye lile boksi la simu kama unalo?Nimepoteza simu ,Google email siikumbuki nawezaje pata EMEI?
yaah ila ni kosa kisheriaSo pia inawezekana kwa hizo devices mbili zikatumia IMEI moja?
Boss I need to try that one
Bila simu utafanyia nini IMEI?Nimepoteza simu ,Google email siikumbuki nawezaje pata EMEI?
Yani nimepoteza simu sasa nawezaje kupata IME yake na email siikumbuki.Bila simu utafanyia nini IMEI?