International curriculum Vs Local curriculum

International curriculum Vs Local curriculum

Kisumbo

Member
Joined
Jun 22, 2012
Posts
52
Reaction score
12
Wadau habari nilikuwa naomba wanaojua wanielimishe faida na hasara za izo mitaala miwili katika elimu ya awali , msingi na sekondari achilia mbali swala la gharama. Je ni ipi bora kwa mtoto wa leo ili aweze kukabiliana na changamoto za maisha hapo baadae.

Mfano wa international ni kama IB, Cambridge etc compared with our National curriculum

Thanks in advance
 
Back
Top Bottom