International Ambassador, Primary and Secondary School

Omuchimati

JF-Expert Member
Aug 23, 2014
427
202
Salam wana Jamvi,shule hyo ipo Tabata Segerea,kama mwanao anasoma shule hii muamishe haraka iwezekanavyo,ni shule ambayo awali ilikuwa ina uelekeo mzuri lkn kwa sasa inaonyesha kupoteza uelekeo,hakuna huduma kama ilivyo jina lake,ni takribani miezi sita sasa watoto wanaosoma shule ya msingi wanapanda dalaladala na Bajaji kwenda shule.
Kimazingira na mtazamo wa shule ni sawa na kuwatesa watoto ambapo huwezi kuamini kuwa hyo ni International school,achilia mbali hilo huduma kama ya maji ya kunywa safi hakuna hapo shuleni,inabidi watoto wajibebee maji kwenda nayo shule,linapotokea tatizo lolote hupati information kwa wakati mpaka mzazi uzitafute.
Wito kwa wazazi mlio na wanafunzi shule hii,angalieni namna ya kuwasaidia watoto wenu.
 
Vizuri kuskia ivo...Kwanini usinge ishauri bodi na wamiliki wa shule wakaweza kutatua tatzo kuliko kusema vibaya taasisi za watu Hadharani....
 
Back
Top Bottom