mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,867
- 8,281
Naomba msaada kama kuna mtu hapa Dar anayefahamu cafe yenye uwezo wa kushusha file haraka na kwa speed hapa Dar,cafe nyingi hapa Dar hawaruhusu kushusha faili ,zamani nilikuwa naweza shusha faili Stambuli Cafe iliyopo Millenium makumbusho lakini sikui hizi sijui kumetokea nini yaani wakati mwingi iko slow na net hukatika mara kwa mara kwa hiyo inakuwa kero.