Interesting

sana yani hadi raha.........hapo unakakiss, unakatekenya kidogo, acha tu.
unaonaje haka
xbaby3.jpg.pagespeed.ic.9jXSE6QAls.jpg
 
unaonaje haka
xbaby3.jpg.pagespeed.ic.9jXSE6QAls.jpg
jamani kalivyo kazuri na vishavu hivyo........ugonjwa wangu huu kuna siku nilienda church mbele yangu kulikuwa na mdada kamshika mtoto mzuri jamani unajua sikusali that day...........nilikuwa nakashangaa ako katoto na jinsi alivyokuwa anamchezea mama yake mara amshike nywele, akikatazwa kanacheka , mara anamvuta mama yake heleni..........duh yani hadi raha.
 
watoto ni raha sana my dia,utapenda tu jinsi ngozi yao ilivyo laini,halafu unakuta mikono midogo mizuri
 
jamani kalivyo kazuri na vishavu hivyo........ugonjwa wangu huu kuna siku nilienda church mbele yangu kulikuwa na mdada kamshika mtoto mzuri jamani unajua sikusali that day...........nilikuwa nakashangaa ako katoto na jinsi alivyokuwa anamchezea mama yake mara amshike nywele, akikatazwa kanacheka , mara anamvuta mama yake heleni..........duh yani hadi raha.
Nione nitakuonyesha kwa kupata kama huyo mamiii.
 
Back
Top Bottom