INTEREsTING DOcUMENTARY- WELCOME TO LAGOS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

INTEREsTING DOcUMENTARY- WELCOME TO LAGOS

Discussion in 'Sports' started by Zing, Feb 6, 2011.

 1. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  wakuu kuna series ya reality life inaitwa welcome to lagos. u beeter watch it.

  very very interesting . showing different challnge people meet and how cope and adapt.

  hapa naweka intro tu ya episode tatu. ukitaka kuona episode zote kwa ukamilifu zifuate you tube au tafuta CD yake . atayehitaji CD ani PM

  1. Mji ndani ya Dampo  2. Makoko slums. mji mwingine ambapo nyumba zinajengwa juu ya maji- lagoon/delta . makoko slums wansema ndo slum kubwa zaidi duniani. But interesting hw people live and cope  3. Episode hii ndo nimeshindwa kuielewa dah.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  hiyo ya pili lagos version of Venus ndiyo kali. It explain kwa nini wanaigeria wakipata opprtunity wanaitumia kwa njia yeyote ile .Sababu wanajua shida

  Kum be Sisi wabongo hatuna sida.
   
Loading...