Welcome to lagos - interesting documentary | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Welcome to lagos - interesting documentary

Discussion in 'Entertainment' started by Mtazamaji, Apr 27, 2010.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nimeona episode mbili za hii documentary ya welcoeme to Lagos ningependa kushare na wenzangu muitazame. inaonyesha challenge mbali mbali watu tulizonazo maishani na jinsi watu wavayokabiliana nazo kwa kutumia resources walizonazo

  Mnaweza kuicheki kwenye bbc player kwenye link hizi
  http://www.bbc.co.uk/iplayer/episode/b00s5x5w/Welcome_to_Lagos_Episode_2/
  http://www.bbc.co.uk/iplayer/episode/b00s5x5w/Welcome_to_Lagos_Episode_2/

  Kwa wale amabo hamko UK unahitaji utundu kidogo wa kufake IP adress yako iwe kama ya UK ili uweze kuona sio kipindi hiki tu bali hata vipindi vingine online. Utundu huu ni rahisi Binafsi nimesitall program ya HidemyIP http://www.hide-my-ip.com/. Inaniwezessha kupata Ip ya nchi mbali mbali

  This documentary is very interesting . I suggest everyone to view it.
   
Loading...