Inawezekana kabisa kuwa na rafiki mwenye jinsi ya tofauti na wewe na mkaishi bila kuishia kufanya ngono.
Kwanza mwatakiwa kujua maana ya urafiki ambao mnaingia kwani kama mnaombana urafiki huku mnatamaniana ni tatizo.
Pili muweke wazi mahusiano yenu,kama mna wapenzi na hao wapenzi wenu waelewe urafiki wenu ili kusiwe na shutuma na kuhisiana vibaya.
Mimi nina rafiki mwanamke na huu ni mwaka wa nne sasa tupo pamoja na tunasaidiana mambo mengi na haijawahi hata siku moja kuwaziana mambo ya kimapenzi.
Asante Adoley,jaribu tu inawezekana kabisa.Mkuu nakupongeza maana si rahisi kudefeat nature or some of the universal practice
Asante Adoley,jaribu tu inawezekana kabisa.
Hahaha I agree with you this time :biggrin:A worthless man will
open your legs, An
intelligent man will open
... your mind, a handsome
man will open your
eyes, and a gentleman
will open your heart
Mimi naamini hakunaga urafiki wa kawaida kati ya mwanaume na mwanamke.
Inaweza kutokea ila angalia toka mwanzo mlianzaje,jaribu utaona raha yake na faida zake ni nyingi.Mkuu nitajitahidi, lakini tatizo inapotokea kushawishiwa na upande wa pili si unajua samson, daud and the likes waliishia
kumuasi mungu, hususani neno udhaifu wa ndani wa mwanadamu.
thanks nitajitahidi mkuu.
King'asti, haupendi marafiki wa kike?My best friends ni wanaume. Friends for the rain and the sunshine, and we love each other. Men who can encourage me, advice and sometimes boost me. I do the same for them and we are open to our partners about our endevuors! Na trust me, hakuna elements za mapenzi hapo!
ni sawa na paka kuwa na urafiki na samaki......
Mara kwa mara huwa najiuliza, mwanaume akiomba urafiki wa kawaida kwa mwanamke anakusudia nini? Maana wengi wao wanaishia kufall in love na kuumizana hisia zao ilihali ulirafiki ulioombwa ni wa kawaida. Haiwezekani kukawa na urafiki wa kawaida kati ya mwanamke na mwanaume forever? Hii inapelekea hata mwanamke akianzankuzoelewa na baadhi ya wanaume wanao mzunguka kwa japo salamu tu, anapata hisia mbaya kichwani mwake. Na kwanini ishindikane?.
ni sawa na paka kuwa na urafiki na samaki......