nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,689
kwanini ishindikane?
Mimi naamini hakunaga urafiki wa kawaida kati ya mwanaume na mwanamke.
Kwako imeshashindikana mara ngapi?hata mi najiuliza kwa nini ushindikane,urafiki wa mawnamke na mwanaume unakuwa na benefits nyingi hasa msipoweka mapenzi ,kwa maana ukishaingiiza mapenzi haudumu hata kidogo
Mara kwa mara huwa najiuliza, mwanaume akiomba urafiki wa kawaida kwa mwanamke anakusudia nini? Maana wengi wao wanaishia kufall in love na kuumizana hisia zao ilihali ulirafiki ulioombwa ni wa kawaida. Haiwezekani kukawa na urafiki wa kawaida kati ya mwanamke na mwanaume forever? Hii inapelekea hata mwanamke akianzankuzoelewa na baadhi ya wanaume wanao mzunguka kwa japo salamu tu, anapata hisia mbaya kichwani mwake. Na kwanini ishindikane?.
kwanini ishindikane?
ni sawa na paka kuwa na urafiki na samaki......
Inawezekana kabisa kuwa na rafiki mwenye jinsi ya tofauti na wewe na mkaishi bila kuishia kufanya ngono.Mara kwa mara huwa najiuliza, mwanaume akiomba urafiki wa kawaida kwa mwanamke anakusudia nini? Maana wengi wao wanaishia kufall in love na kuumizana hisia zao ilihali ulirafiki ulioombwa ni wa kawaida. Haiwezekani kukawa na urafiki wa kawaida kati ya mwanamke na mwanaume forever? Hii inapelekea hata mwanamke akianzankuzoelewa na baadhi ya wanaume wanao mzunguka kwa japo salamu tu, anapata hisia mbaya kichwani mwake. Na kwanini ishindikane?.
Atamla tu hehehehe
Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
Niko na wewe hapo...nina marafiki wengi sana wakike ambao tuna heshimiana kama kaka na dada yake, na mara nyingi sana nikiwa nashida zangu mfano hospital...najikuta mara nimefikishwa kwa doctor bila kupiga camp, same thing nikienda bank mambo yanaenda chap chap napitishwa mlango wa nyuma :biggrin:hata mi najiuliza kwa nini ushindikane,urafiki wa mawnamke na mwanaume unakuwa na benefits nyingi hasa msipoweka mapenzi ,kwa maana ukishaingiiza mapenzi haudumu hata kidogo