Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Hahahahahaha jamani wa mwambia mwenzio achangamkie tenda wakati hata hajaelewa iko yeye kimbia umande hahahahah
Nitafsirie wewe mpenz...huyu hata hawezi kufurahia mafanikio yangu
Hahahahahaha jamani wa mwambia mwenzio achangamkie tenda wakati hata hajaelewa iko yeye kimbia umande hahahahah
U know....aaa...aaam...I aaa...
Hahahahahaha jamani wa mwambia mwenzio achangamkie tenda wakati hata hajaelewa iko yeye kimbia umande hahahahah
Nitafsirie wewe mpenz...huyu hata hawezi kufurahia mafanikio yangu
hahahaaaa ras simba anachukua hela ndefu wengine vichwa vigumu khaaaaa shida hii
Kale mlenda ulainishe koo coz inaonekana umekabwa na kitu, maneno ya kingredha hayatoki hahahaha
Hahahaaa mlenda ndo nini kwani
Eti anatuarika kenye harusi yake!! Ladies tu
Hovyooo nikikwambia twende kwa Ras Simba unaleta pozi, sasa toa tu mimacho hivyo2. Afu changamkia tenda hiyo, sasa wewe komaa tu na uchumba sugu wako
Huyu mjeuri ujue, daily namsisitiza twende kwa dr wa kingredha ambaye ni Ras Simba, but still kagoma. Hii chance ilikuwa yake kabisa but ndo atatuma PM kwa kihehe sijui hahaha
Mweeeeeeeee mie mwaenyewe naona nyota nyota hapa sielewi embu wewe uliye pata kodhi kwa rasi Simba tutafusirie hapa!
Mweeeeeeeee mie mwaenyewe naona nyota nyota hapa sielewi embu wewe uliye pata kodhi kwa rasi Simba tutafusirie hapa!
Weeee me nalipa hela ndefu kwa dr ras afu nije niwatafsirie bure bure tu, nani kasema hahaha?
Embu ni PM # yako nikutumie ela japo M-Pesa unitafusirie,ila itabidi unitafusirie huko huko PM ili Khantwe asiione thawa mama wewe!
Aaah hapo sawa, check your PM hahahaha nina wiki tu hapa kwa dr ras, ngoja nihitimu sasa mtajutraaaa