tilmikha
JF-Expert Member
- Feb 27, 2013
- 496
- 604
Mnamo karne ya 18, Franz Joseph Gall, akiwa mwanafunzi alitazama vichwa vya wanafunzi wenzake na kuunza kuhusisha uhusiano uliopo baina ya baadhi ya tabia za akili pamoja na size na shape ya kichwa (fuvu) za wanafunzi wenzake. Kwa mfano aligundua kuwa wavulana walio na prominent eyes walikua na uwekaji mzur wa kumbukumbu. Aliendelea na kushikamana na wazo lake hili mpaka alipokua daktari (physician) and scientist, na miaka ya badae akaweka wazo lake na kuwa ndio msingi wa phrenology. Phrenology ni taaluma inayohusiana na study ya size and shape ya fuvu kama imani ya kuweza kujua uwezo wa akili za watu kwa kutazama vichwa vyao.
Wazo kuu la taaluma hii ni kuwa, fuvu la binaadam linatofautiana kutoka mtu mmoja hadi mwengine, hivo tofauti za fuvu zina reflects tofauti katika ubongo wao. Na sehemu tofauti za ubongo, zina kazi tofauti.
Wamsri wa kale wao waliamini thought (wazo) wazo la mtu huwa linatoka ndani ya moyo wa mtu na judgment (maamuzi) hufanywa ndani ya kichwa ama Figo.
Pythagoras na Plato wao waliamini akili ipo ndani ya ubongo.
Waswahili wao waliamini akili ni nywele kila mtu ana za kwake.
Mpendwa msomaji, je wewe ni upi mtazamo wako wa kale wa akili?
Sent using Jamii Forums mobile app