Hakuna vigezo vya kuteuliwa tena au kutengua vilivyotajwa kwenye katiba?"Shall" inahusu " eligibility" na sio kuteuliwa tena. Kwamba "automatically" anakidhi vigezo vya kuteuliwa tena kuwa CAG lakini SI lazima ateuliwe.
Akifikisha miaka 60 lazima astaafu, bila ya kujali kuwa anatumikia miaka 5 ya Kwanza au ya pili. Unaweza kustaafu based on age au or mkataba kuisha, whichever comes first. Kuna vigezo vya kutengua ambavyo hivyo si kustaafu tena bali kutumbuliwa. Ila kwa case hii Magu yupo right ingawaje inawezekans kuna ill motive behind.Hakuna vigezo vya kuteuliwa tena au kutengua vilivyotajwa kwenye katiba?
Katiba inasema cag atastaafu akifikisha miaka 60
Assad amefikisha miaka 60?
Hii ya miaka 5 imeandikwa wapi?Akifikisha miaka 60 lazima astaafu, bila ya kujali kuwa anatumikia miaka 5 ya Kwanza au ya pili. Kuna vigezo vya kutengua ambavyo hivyo si kustaafu tena bali kutumbuliwa. Ila kwa case hii Magu yupo right ingawaje inawezekans kuna ill motive behind.
Somewhere, Issa Shivji ameonyesha kuwa umri wa lazima wa CAG kustaafu ni miaka 65, lakini point muhimu ni kuwa Rais halazimiki kumu appoint tena baada ya kumaliza muhula wake wa kwanza wa miaka 5. Ila rejea tena bandiko la Issa Shivji kuwa Rais analazimika kumpa miaka 5 mingine, sijalisoma kwa undani sana.
Nyabhingi.Narudia kuandika, Tunachojadiliana ni hiki, sheria (The Public Audit Act, 2008) inasema "The Controller and Auditor-General shall hold office for the fixed term of five years and shall be eligible for renewal for one term only".
Unajua kuwa sheria ikiconflict katiba ni katiba inayoprevail?Nyabhingi.
Nimechukua response ya introvert kujibu swali lako kwani ina reference.
Yap. Without doubt.Unajua kuwa sheria ikiconflict katiba ni katiba inayoprevail?
Yap. Without doubt.
Naomba basi unionyeshe hicho kifungu cha katiba.Unakubali kuwa hicho kifungu cha sheria kwenye public audit act kinavunja katiba?
Tatizo sio kuondolewa ila tatizo kuleta mtu Kilaza ambaye alishindwa kazi TRA aje aweze kazi kwenye ofisi nyeti ya umma kama hii?
I am not adopting a defeatist attitude.In Brown v. Board of Education, segregation of public schools was declared unconstitutional by the U.S. Supreme court. Circa 1954.
Oliver Brown’s daughter was refused enrollment in the Topeka, Kansas public school district.
So Oliver Brown and other local black residents went to federal court.
The case went all the way to the Supreme Court and the court unanimously declared that segregation in public schools was unconstitutional. I believe most of the justices were white men.
Then came the Civil Rights Act of 1964 and the Voting Rights Act of 1965, which effectively ended Jim Crow Laws.
Had the Browns had a defeatist attitude, like, ‘the courts are full of racist white men so there’s no point going to court’, probably none of that would’ve happened. Race didn’t deter them from seeking justice for their daughter and subsequently other racial minorities.
I’m a believer in ‘there’s no harm in trying’. You don’t just give in easily like that especially if you think you are in the right.
Oppressive laws are unjust laws. Apartheid was unjust. Not all laws are just laws. [Did’nt Nelson Mandela study law so he could fight Apartheid in the courtroom?]
But people fought it on several different fronts, including the courtrooms.
We have courts for a reason. And I’m not being pollyanna to ignore all the challenges we have in our justice system. I’m very ‘woke’ about that.
However, I don’t like giving in too easily just because one feels they are going to lose.
It’s worth a try for Assad to go to court. You say what? No?
Kasome ibara ya 144 ya katibaNaomba basi unionyeshe hicho kifungu cha katiba.
Mtazamo wako unaonesha huna uwezo wa kufanya reasoning. Daktari akikupa prescription ya 2 x 3 haimaanishi unaweza kumeza vidonge 6 kwa mpigo.Ni lazima aendelee kwa kipindi cha pili? Yaani ni lazima ateuliwe tena kwa miaka mitano?
Kama ni hivyo, yaani ni lazima aendelee kwa kipindi cha pili, kwa nini basi waweke kipindi cha miaka mitano mitano? Si wangeweka tu kuwa CAG atakaa miaka 10.
Tafuteni jingine.
Neno "shall" halijatumika, wameandika "is eligible"Neno shall kwenye katiba linalazimisha appointment muhula wa pili
Nyabhingi.Hii ya miaka 5 imeandikwa wapi?
I am not adopting a defeatist attitude.
In fact, in the past couple of weeks, I have asked complaining Tanzanians to adopt a more combative approach, as in using the court system to get precedents and justice.
The beauty of that is, even if the courts will be unfair, we will have investigated and tested this notion. How unfair, why etc.
So that is a good thing.
One could argue that, that is the best thing.
But, there is such a thing as making the good the enemy of the best.
In the absence of a court case, surely we can discuss ideas, in the usual tradition of "the marketplace of ideas", and reason things out. In fact, that is a good start even if one wants to end with a court case.
Of course you will have the knuckleheads who want to be fixated on shall, without even realizing that shall is talking about term limits in 2024, and nothing about the current situation.
We have flat earthers everywhere.
You are welcome to block them, that is why that block feature is there.
But do not paralyse genuine discussion, intelligent discussion, just because we do not currently pursue a court case.
How do you you know somebody who will pursue a court case, or sit on the bench one day, will not benefit from a lively and informed discussion here?
In fact hiyo ibara inaset umri wa cag kustaafu kuwa ni miaka 60 and also inaruhusu bunge kutunga sheria litakapoona inafaa kubadilisha umri tofauti na miaka 60 ya kwenye katibaNyabhingi.
Uliponiuliza hili swali, sikukwambia usome "The Public Audit Act" ili upate jibu. Nilijitahidi kukutafutia jibu hilo. At least, I deserve a similar response from you, to my question.
Kuna haja ya kuandika atatumikia miaka mitano? Na kwanini neno reappointment liwekwe kwenye katiba?
Kamba kuna tofauti kati ya CAG aliyepo na aliyeteuliwa ni jambo moja, kusema katiba imevunjwa ni kitu tofauti kabisa wazee.
Inaweza kujafiliwa kwa muktadha wa competence bila kuingiza uvunjwaji wa katiba.
Can the ex-CAG think this was constitutional, while it isn't so, or, in converse, think this unconstitutional while it is constitutional?I’m all for the free flow of ideas and discussion.
But also I like to be informed.
I’d like to hear from both sides. That is, the ex CAG’s side and the government’s side.
I doubt both of them would engage in social media commentary that’s currently going on. And that’s understandable.
I’d like know, first, if the ex-CAG disagrees with the President’s decision. Does he think, like some of you do, it was unconstitutional?
I’d also like to hear from the government. What does it have to say about the allegations? Is there an obscure clause out there that gives the President the power to do what he did?
The only way and place to get answers to these questions is the court of law, where there is established protocol to get resolutions to legal matters.
I think Assad should go to court if he thinks he didn’t get a fair shake.
If the courts don’t have the independence that many people think they don’t have, that will be laid bare and will be further proof, that the charge is true.
Not going to court if he believes he’s been hard done by, for someone of his stature, would be a disservice to all of us.
I doubt he’ll go that far, though.
In general we’re not a highly litigious society.
I expect this issue to be done and dusted, by next week, if not by the end of this week.
Sasa, based on your response above, hakuna connection kati ya kutunga mihula na umri wa kustaafu. Where specifically in the Constitution that prohibits the creation of two five-year terms? We probably are sailing on the same boat, but in this particular case, I do not see where Magu went wrong. I wish I could😊In fact hiyo ibara inaset umri wa cag kustaafu kuwa ni miaka 60 and also inaruhusu bunge kutunga sheria litakapoona inafaa kubadilisha umri tofauti na miaka 60 ya kwenye katiba
Haikuruhusu bunge kutunga hicho kitu kinachoitwa mihula miwili ya miaka mitano mitano
Kuna sehemu ya katiba imeainisha namna CAG anavyoweza kutolewa kazini.Sasa, based on your response above, hakuna connection kati ya kutunga mihula na umri wa kustaafu. Where specifically in the Constitution that prohibits the creation of two five-year terms? We probably are sailing on the same boat, but in this particular case, I do not see where Magu went wrong. I wish I could