Intellect over emotions or emotions over intellect?

Intellect over emotions or emotions over intellect?

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,088
Reaction score
136,602
Baada ya kumaliza kuangalia UFC 244 jana usiku, Masvidal vs Diaz for the BMF belt, nikahamia DAZN kuangalia Canelo Alvarez vs Sergei Kovalev.

Hakika jana Jumamosi ya jana ilikuwa siku bomba sana kwa sisi wapenzi wa combat sports.

So you can imagine. I slept late. But thanks to falling back an hour, I got an extra hour of sleep. I woke up kinda late.

Baada ya kuingia JF, nakutana na mada kadhaa za Rais Magufuli kuvunja katiba.

Madai ni kwamba kavunja katiba kwa kumteua CAG mwingine.

Yule aliyekuwepo kamaliza kipindi cha miaka mitano.

Rais kaamua kwenda na mtu mwingine.

Sasa wale anti-Magufuli brigade wamepatwa na hysteria.

Eti Rais Magufuli kavunja katiba.

Unajua bana, saa ingine ukiwa unamchukia sana mtu, hiyo chuki yako ni kama ina-suspend uwezo wako wa kutafakari.

Chuki ni hisia kali. Hisia kali huathiri uwezo wa mtu wa kufikiri kwa mantiki na kiakili.

Ndo hii overreaction ninayoiona hapa.

Guys, intellect over emotions, please.

And for good measure, humility over hubris.

Thank you very much.

Happy Sunday everyone.
 
"Guys, intellect over emotions, please. "
Comment ziwe fupi fupi.
 
Vyovyote itakavyokuwa whether amevunja katiba au la ila alichoifanya wazi wazi ni kutengeneza mazingira ya "plunder with impunity".

Huhitaji kuwa Mganga wa kienyeji au msoma nyota kujua kuwa Magufuri ana operate na watu wanaojua kulinda ufisadi wake.
 
Tatizo sio kuondolewa ila tatizo kuleta mtu Kilaza ambaye alishindwa kazi TRA aje aweze kazi kwenye ofisi nyeti ya umma kama hii?

Say whaaat?? Ina maana nimesoma na sijaelewa au?

Kwanza, CAG hajaondolewa. Ni kwamba hajateuliwa tena baada ya kumaliza muda wake wa miaka mitano. Hayo ni mambo mawili tofauti.

Lakini pia, tumeambiwa kwamba Rais Magufuli kavunja katiba kwa kumteua CAG mpya.

Hilo ndo suala linaloshikiwa bango.
 
Vyovyote itakavuokuwa whether amevunja katiba au la ila alichooifanya wazi wazi ni kutengeneza mazingira ya "plunder with impunity".
Huhutaji kuwa Mganga wa kienyeji au msoma nyota kujua kuwa Magufuri ana operate na watu wanaojua kulinda ufisadi wake.

Well, hayo ni maoni yako tu na si ukweli wa mambo. Au kwa maneno mengine, huo ni mtazamo wako tu.

Lakini kusema kavunja katiba, naaah.
 
CAG kawa terminated
Kasome vizuri ibara ya 144 ya katiba
Say whaaat?? Ina maana nimesoma na sijaelewa au?

Kwanza, CAG hajaondolewa. Ni kwamba hajateuliwa tena baada ya kumaliza muda wake wa miaka mitano. Hayo ni mambo mawili tofauti.

Lakini pia, tumeambiwa kwamba Rais Magufuli kavunja katiba kwa kumteua CAG mpya.

Hilo ndo suala linaloshikiwa bango.
 
Vyovyote itakavuokuwa whether amevunja katiba au la ila alichooifanya wazi wazi ni kutengeneza mazingira ya "plunder with impunity".
Huhutaji kuwa Mganga wa kienyeji au msoma nyota kujua kuwa Magufuri ana operate na watu wanaojua kulinda ufisadi wake.
Hiki unachokisema ni kutokana na sheria ipi au kanuni ipi?
Au ni mtazamo na hisia zako tu juu ya ile unacho HISI ni sahihi au kibaya?
 
Yes, Titty...
Nakubaliana na wewe intellect is all about thinking, reasoning and critical analysis of different matters na chuki ni emotions hivyo emotion na intellect huwa vina exchange katika utokeaji, ukitumia intellect, emotion inashuka ukitumia emotion intellect inashuka. Ndio maana tunashauriwa tusitoe maamuzi magumu tukiwa na furaha sana au tukiwa na hasira sana, kwasababu vitendo hivyo vinahusisha emotion sana kuliko intellect.
 
Nimejaribu kupitia vipande vya katiba vinavyowekwa kusaidia kujenga hoja kwamba katiba imevunjwa, sijajua ni kichwa changu kizito au elimu iliyotumika kuandika katiba imenizidi kimo? Sijaona kwa haraka haraka mahali katiba imevunjwa. Vinginevyo wajuvi waje kutupa darasa.

Ikiwa katiba inaweka wazi kwamba CAG atahudumu kiti chake miaka mitano na anaweza kuongezewa muhula mwingine wa miaka mitano tu, kuna kosa asipoongezewa?
 
Hata mimi niliyeishia fom tuu nimeelewa kwamba, kama anaweza kuongezewa muhula mwingine wa miaka mitano basi pia anaweza asiongezewe.

Sasa sijui kigumu kueleweka hapo ni kipi hasa?
 
Katiba inaandika kuwa ni lazima aendelee kwa kipindi cha pili na baada ya hapo hataendelea tena na iwapo atafikisha miaka 60 ndani ya hicho kipindi atastaafu...Assad hajafikisha 60

Ni lazima aendelee kwa kipindi cha pili? Yaani ni lazima ateuliwe tena kwa miaka mitano?

Kama ni hivyo, yaani ni lazima aendelee kwa kipindi cha pili, kwa nini basi waweke kipindi cha miaka mitano mitano? Si wangeweka tu kuwa CAG atakaa miaka 10.

Tafuteni jingine.
 
Kama akifikisha miaka 60 ndani ya kipindi cha pili atalazimika kustaafu na kuachia uCAG
 
Back
Top Bottom