johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,123
Ndio mbwembwe za mitandaoni hizo!Mkuu hukuziona nyuzi humu zinazoelezea usaliti wao kabla ya siku husika? Ama unaandika huzi huu ukiwa Kwimba!
Kwanza waliwavua nyadhifa zao zote ndani ya chama, pili wakawavua uanachama waoNdio mbwembwe za mitandaoni hizo!
Walichukua hatua gani?
Baada ya kuapishwa kuwa wabunge!!.......... hahahaaaa!Kwanza waliwavua nyadhifa zao zote ndani ya chama, pili wakawavua uanachama wao
ulitaka wavuliwe kabla ya kutenda kosa ili mpate sababu ya kuinanga chadema?Baada ya kuapishwa kuwa wabunge!!.......... hahahaaaa!
Wakati wa Dkt. Slaa CHADEMA iliaminika kwa uwezo wake wa kiintellejensia wa kung'amua mambo kabla ya kutokea na kufukunyua mambo yaliyotokea kujua yalitokeaje.
CHADEMA ya Mnyika sijajua inafeli wapi hadi barua yenye sahihi na muhuri wa katibu mkuu inafika NEC bila uongozi akiwemo KM mwenyewe kujua.
Yaani wanawake 19 wanapanga mbinu tena miongoni mwao wamo Esther Matiko na Sophia Mwakagenda ambao wenzi wao ni viongozi wa CHADEMA halafu intellejensia ya chama imefeli kubaini.
Ina maana yale yaliyoitwa "mapinduzi" yaliyopangwa na Mwigamba Zitto Kabwe na Prof Kitilla ingekuwa ni wakati huu yangeweza kufanikiwa kirahisi sana.
Ukiondoa mbwembwe za mitandaoni na usaidizi wa " kigogo mmoja" CHADEMA ni weupe sana katika intellejensia.
Umeona umeandika ya maana sana kusomwa na watu wazima na timamu?Jiheshimu nawe utaheshimiwa!cdm wawe na intelejensia waache kwenda kupandwa ubelgiji😂😂
Kwanza hawajui hata hiyo intelejensia inaumuhimu gani kwa chama chenye mlengo wa kushika dola😂😂
Kigog2014 hakutoa hiyo orodha mapema au unajitoa akili wewe babu?Wakati wa Dkt. Slaa CHADEMA iliaminika kwa uwezo wake wa kiintellejensia wa kung'amua mambo kabla ya kutokea na kufukunyua mambo yaliyotokea kujua yalitokeaje.
CHADEMA ya Mnyika sijajua inafeli wapi hadi barua yenye sahihi na muhuri wa katibu mkuu inafika NEC bila uongozi akiwemo KM mwenyewe kujua.
Yaani wanawake 19 wanapanga mbinu tena miongoni mwao wamo Esther Matiko na Sophia Mwakagenda ambao wenzi wao ni viongozi wa CHADEMA halafu intellejensia ya chama imefeli kubaini.
Ina maana yale yaliyoitwa "mapinduzi" yaliyopangwa na Mwigamba Zitto Kabwe na Prof Kitilla ingekuwa ni wakati huu yangeweza kufanikiwa kirahisi sana.
Ukiondoa mbwembwe za mitandaoni na usaidizi wa " kigogo mmoja" CHADEMA ni weupe sana katika intellejensia.
Nawatakia Ijumaa kareem!
Ndiyo maana Mnyika aliandika barua NEC kuwa taarifu kuwa wao hajapeleka majina yoyoteWalikuwa wanajua kila kitu sema tu walikuwa wanawachora ili waje waumbuke kiroho safi
Umeuliza swali nzuri sana lakini ni lazima uangalie wakati uliopo.Katika awamu hii kwanza watu wameingiwa na uoga na pili watu hawaminiani kabisa.Wakati wa Dkt. Slaa CHADEMA iliaminika kwa uwezo wake wa kiintellejensia wa kung'amua mambo kabla ya kutokea na kufukunyua mambo yaliyotokea kujua yalitokeaje.
CHADEMA ya Mnyika sijajua inafeli wapi hadi barua yenye sahihi na muhuri wa katibu mkuu inafika NEC bila uongozi akiwemo KM mwenyewe kujua.
Yaani wanawake 19 wanapanga mbinu tena miongoni mwao wamo Esther Matiko na Sophia Mwakagenda ambao wenzi wao ni viongozi wa CHADEMA halafu intellejensia ya chama imefeli kubaini.
Ina maana yale yaliyoitwa "mapinduzi" yaliyopangwa na Mwigamba Zitto Kabwe na Prof Kitilla ingekuwa ni wakati huu yangeweza kufanikiwa kirahisi sana.
Ukiondoa mbwembwe za mitandaoni na usaidizi wa " kigogo mmoja" CHADEMA ni weupe sana katika intellejensia.
Nawatakia Ijumaa kareem!
we jamaa nahisi unasababu na chuki binafsi hasa ukiambiwa au kusikia ukweliUmeona umeandika ya maana sana kusomwa na watu wazima na timamu?Jiheshimu nawe utaheshimiwa!
vipi ulishajifungua babycdm wawe na intelejensia waache kwenda kupandwa ubelgiji😂😂
Kwanza hawajui hata hiyo intelejensia inaumuhimu gani kwa chama chenye mlengo wa kushika dola😂😂
umeingia joto e??vipi ulishajifungua baby
Unadhani Jiwe anajua kila kitu wanachofanya opponents wake?Wakati wa Dkt. Slaa CHADEMA iliaminika kwa uwezo wake wa kiintellejensia wa kung'amua mambo kabla ya kutokea na kufukunyua mambo yaliyotokea kujua yalitokeaje.