johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 82,754
- 139,558
Wakati wa Dkt. Slaa CHADEMA iliaminika kwa uwezo wake wa kiintellejensia wa kung'amua mambo kabla ya kutokea na kufukunyua mambo yaliyotokea kujua yalitokeaje.
CHADEMA ya Mnyika sijajua inafeli wapi hadi barua yenye sahihi na muhuri wa katibu mkuu inafika NEC bila uongozi akiwemo KM mwenyewe kujua.
Yaani wanawake 19 wanapanga mbinu tena miongoni mwao wamo Esther Matiko na Sophia Mwakagenda ambao wenzi wao ni viongozi wa CHADEMA halafu intellejensia ya chama imefeli kubaini.
Ina maana yale yaliyoitwa "mapinduzi" yaliyopangwa na Mwigamba Zitto Kabwe na Prof Kitilla ingekuwa ni wakati huu yangeweza kufanikiwa kirahisi sana.
Ukiondoa mbwembwe za mitandaoni na usaidizi wa " kigogo mmoja" CHADEMA ni weupe sana katika intellejensia.
Nawatakia Ijumaa kareem!