Intelijensia Kuhusu Maandamano ya CHADEMA

Mwenyewe nilikuwepo, na polisi ndo walianzisha vurugu...watu waliandamana huku wameshikana mikono na kufunga vitambaa vyeupe mikononi...walituacha tukatembea km 2 na kulikuwa hakuna shida yoyote, ila tulipofika tank la maji ndo wakaanza kazi waliyotumwa na JK na IGP. then wakatufuata na kutupiga mabomu hadi uwanjani.
waliwashusha watu hadi kwenye magari wakiwapiga ingali walikuwa hawaandamani...pia waandishi wa habari walipigwa na wao je?????
Ee Mungu sikia kilio chetu.
 
Haya majina ni ya wakurugenzi wa DOWANS ila hakuna mwenye info za maana on the internet hata mmoja!.
 

"System At Work" Sishangai hasa baada ya kuona signature yako!!! Siku njema zoba.
 
Walewale waliolala wakitegemea maendeleo ya taifa yataletwa na wageni wakati wageni hao huingia na kutoka wakiwa usingizini kama mazuzu! Nina shaka na utimilifu wa ubongo wako, kapime akili kwanza
 
Hizo ndio sababu ambazo hazipingiki, kulikuwa kuna umuhimu gani wa kufanya maandamano wakati kuna wageni? tena ni wawekezaji muhimu? kama si kuwatisha?

Swali lako (nimelipigia mstari chini) umuulize RPC Andengenye aliyeruhusu maandamano hayo halali yafanyike.

Lini uliambiwa kuwa wakija wageni maandamano yasifanyike?

Hujui kuwa maandamano ni haki ya kikatiba ya kila raia? Na wala hayahitaji kibali toka kwa mtu yeyote?
 

Hapa sio mahali pa kuimba TAARABU, nenda kunakostahili.
 
Haya majina ni ya wakurugenzi wa DOWANS ila hakuna mwenye info za maana on the internet hata mmoja!.

Information it depends wewe mwenyewe kama unapenda kuweka information zako huko, au kama you are a celebrity and people are bothered to write something about you.......

Issue ni kwamba hata kama hawa ni fake.. but can you prove it...
 
Hebu Google haya majina
1.Andrew James Tice (Canada)
2. Gopalakrishnan Balachandaran (India)
3. Hon Sung Woo (Singapore)
4. Guy Picard (Canada)
5. Sulaiman Al Adawi (Oman)
6. Stanley Munai (Kenya).

Mkuu unaweza kuwacontact?? maana tokea asubuhi tunagoogle hakuna cha maaana

Najua uan habari za kiinteligensia
 
nafikiri uelewa wako ni tatizo, maandamano ya chadema yalipangwa toka lini na hao wageni wamekuja lini?
:a s 465:

 
kumbe google ni intelijensia

HALAFU MBONA PCMAN NA JABA-LI MMETOA THREAD ZINAFANANA KILA KITU, AU NDIO DOUBLE ID? intelijensia pia hiyo
 
hivi kuwalipa dowans 91bn ni nani awezaye kutamka hadharani akasikia km sio kupitia upinzani? Bw Zomba tukubaliane ufisadi hapa TZ hautakoma mpaka kutangazwa hadharani km EPA, RADA, Richmond
Maandamano ni halali yafanyike popote kuibana serikali iliyopo madarakani DEMOKRASIA NI GHALI

hata CDM ikiwa madarakani na ikifanya utumbo CCM wataandamana
 
Kwanini tunapewa majina ya wakuruge na sio ya shareholders?
hebu google haya majina
1.andrew james tice (canada)
2. Gopalakrishnan balachandaran (india)
3. Hon sung woo (singapore)
4. Guy picard (canada)
5. Sulaiman al adawi (oman)
6. Stanley munai (kenya).
 
Wewe lazima utakuwa mgonjwa wa akili,na kama si mgonjwa basi wewe ni shetani halisi,nenda kuzimu shetani wewe utuachie dunia yetu ili tuishi salama!!
 

Dhirubhai Ambani - Biography

Born: December 28,1932
Died: July 6, 2002


Achievements: Dhiru Bhai Ambani built India's largest private sector company. Created an equity cult in the Indian capital market. Reliance is the first Indian company to feature in Forbes 500 list

Dhirubhai Ambani was the most enterprising Indian entrepreneur. His life journey is reminiscent of the rags to riches story. He is remembered as the one who rewrote Indian corporate history and built a truly global corporate group.

Dhirubhai Ambani alias Dhirajlal Hirachand Ambani was born on December 28, 1932, at Chorwad, Gujarat, into a Modh family. His father was a school teacher. Dhirubhai Ambani started his entrepreneurial career by selling "bhajias" to pilgrims in Mount Girnar over the weekends.

After doing his matriculation at the age of 16, Dhirubhai moved to Aden, Yemen. He worked there as a gas-station attendant, and as a clerk in an oil company. He returned to India in 1958 with Rs 50,000 and set up a textile trading company.

Assisted by his two sons, Mukesh and Anil, Dhiru Bhai Ambani built India's largest private sector company, Reliance India Limited, from a scratch. Over time his business has diversified into a core specialisation in petrochemicals with additional interests in telecommunications, information technology, energy, power, retail, textiles, infrastructure services, capital markets, and logistics.

Dhirubhai Ambani is credited with shaping India's equity culture, attracting millions of retail investors in a market till then dominated by financial institutions. Dhirubhai revolutionised capital markets. From nothing, he generated billions of rupees in wealth for those who put their trust in his companies. His efforts helped create an 'equity cult' in the Indian capital market. With innovative instruments like the convertible debenture, Reliance quickly became a favorite of the stock market in the 1980s.

In 1992, Reliance became the first Indian company to raise money in global markets, its high credit-taking in international markets limited only by India's sovereign rating. Reliance also became the first Indian company to feature in Forbes 500 list.

Dhirubhai Ambani was named the Indian Entrepreneur of the 20th Century by the Federation of Indian Chambers of Commerce and Industry (FICCI). A poll conducted by The Times of India in 2000 voted him "greatest creator of wealth in the century".

Dhirubhai Ambani died on July 6, 2002, at Mumbai.
 
Mgeni wageni wafanyibiashara wawekezaji ni nini hii? hivi unaweza ukamtegemea jirani kuendeleza familia yako huu ni wazimu hapo ndipo unadhihirisha hadharani jinsi ulivyo na akili finyu tegemezi Wakaribishe basi kwa mkeo hao wageni wawekeze ili usiaibike
Kipindi cha jky tulisoma tulitibiwa na misingi endelevu ya maendeleo aliiweka! Hatukuwa Na mgeni wala mwekezaji Hakika umelogwa na aliye kuloga kafa JITAMBUE!
 
Haya majina ni ya wakurugenzi wa DOWANS ila hakuna mwenye info za maana on the internet hata mmoja!.
Hayo majina ni fictitious names, na jina la Al Adawi, wamemchomekea tuu, alihojiwa na ka inzi kwa Mzee Mwanakijiji, akakiri, he knows nothing!.
 
Duh! Leo nimeamini kuwa duniani kuna ma ZUZU! To the extreme, ZOMBA wewe ni ZUZUEST, yaani the highest point of being a ZUZU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…